Author: Charles Adika
-
KACHAPIN ASISITIZA HAKIKISHO LAKE LA SHUGHULI ZA MASOMO KUREJELEWA KATIKA SHULE ZILIZOFUNGWA KUFUATIA UTOVU WA USALAMA.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameendelea kuwahakikishia wakazi wa maeneo ya mipakani pa kaunti hiyo na kaunti jirani ambako masomo yalitatizika kufuatia utovu wa usalama kwamba shughuli […]
-
KASHEUSHEU: SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI NDIYO INAYOTENGA KIWANGO KIKUBWA CHA PESA ZA BASARI.
Mwakilishi wadi maalum Elijah Kasheusheu ameelezea kujitolea kwa serikali ya gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin katika kuimarisha sekta ya elimu. Kasheusheu alisema kwamba ni serikali ya gavana […]
-
KACHAPIN AAHIDI KUIMARISHA SHUGHULI YA UCHIMBAJI DHAHABU ROMUS.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameahidi kwamba serikali yake itahakikisha wakazi wa eneo la Romus Pokot kaskazini wananufaika na shughuli ya uchimbaji dhahabu ikiwa ndio shughuli ambayo […]
-
JAMII KATIKA KAUNTI ZA POKOT MAGHARIBI, BARINGO NA ELGEYO MARAKWET ZATAKIWA KUJITENGA NA TAMADUNI YA UKEKETAJI.
Wito umetolewa kwa wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi, Elgeyo marakwet na Baringo kujitenga na tamaduni za ukeketaji na badala yake kuangazia maswala ambayo yatapelekea jamii hizi kuafikia maendeleo na […]
-
HUDUMA ZA MATIBABU ZATARAJIWA KUIMARIKA KASEI BAADA YA KUFUNGULIWA ZAHANATI MBALI MBALI.
Waziri wa afya katika kaunti hii ya Pokot magharibi Cleah Parklea ametaja hatua ya kufunguliwa zahanati maeneo ya Chepelion, Lelmelo, Kamketo na Opol kuwa ya muhimu zaidi katika kuhakikisha huduma […]
Top News









