Author: Charles Adika
-
WIZARA YA USALAMA YATAKIWA KUHARAKISHA MCHAKATO WA KUWAAJIRI MAAFISA WA NPR.
Mwakilishi wadi ya seker kaunti ya Pokot magharibi Jane Mengich ameitaka wizara ya usalama na maswala ya ndani ya nchi kuharakisha mchakato wa kuhakikisha maafisa wa akiba NPR wanaanza kuhudumu […]
-
SHUGHULI ZA MASOMO KUREJELEWA JANUARI KWENYE SHULE ZILIZOATHIRIKA NA UTOVU WA USALAMA POKOT MAFGHARIBI.
Waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi Prof. Kithure Kindiki amewahakikishia wakazi wa maeneo ambako shughuli za masomo zilisitishwa kufuatia utovu wa uslama katika kaunti ya Pokot magharibi […]
-
WAAKILISHI WADI POKOT MAGHARIBI WASHIKILIA MSIMAMO WAO WA KUSITISHWA MARA MOJA KOMBE LA MURKOMEN.
Waakilishi wadi katika kaunti ya Pokot magharibi wamesisitiza msimamo wao kwamba kombe la murkomen ambalo linaandaliwa kwa ajili ya kuhimiza amani katika kaunti za bonde la kerio linafaa kusitishwa mara […]
Top News







