Author: Charles Adika
-
WANANCHI WATAKIWA KUMPA MUDA RAIS RUTO ANAPOENDELEA KUSHUGHULIKIA GHARAMA YA MAISHA.
Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wamemtetea rais William Ruto kutokana na shutuma ambazo zinaelekezwa kwa serikali yake kufuatia sera mbovu za kufufua uchumi ambazo zimetajwa kupelekea kupanda […]
-
WAKAZI WA KANYERUS WAPONGEZWA KWA KUKUMBATIA WITO WA UJENZI WA VYOO.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi ipo tayari kushirikiana na mashirika mbali mbali ambayo yanaendeleza miradi ya kuwanufaisha wakazi wa kaunti hiyo, ili kuhakikisha kwamba wananchi wanapata huduma kwa viwango […]
Top News









