Author: Charles Adika
-
WAAKILISHI WADI POKOT MAGHARIBI WASHIKILIA MSIMAMO WAO WA KUSITISHWA MARA MOJA KOMBE LA MURKOMEN.
Waakilishi wadi katika kaunti ya Pokot magharibi wamesisitiza msimamo wao kwamba kombe la murkomen ambalo linaandaliwa kwa ajili ya kuhimiza amani katika kaunti za bonde la kerio linafaa kusitishwa mara […]
-
WALIMU WA JSS WATISHIA KUSAMBARATAISHA SHUGHULI ZA MASOMO JANUARI IWAPO HAWATAAJIRIWA KWA MKTABA WA KUDUMU.
Walimu wa shule za sekondari ya msingi JSS katika katika kaunti ya Pokot magharibi wametishia kwamba watagoma kuanzia januari mwaka ujao iwapo tume ya huduma kwa walimu TSC haitawaajiri kwa […]
-
KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI HATIMAYE YAPEWA MAAFISA WA NPR BAADA YA SHINIKIZO ZA MUDA.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameipongeza serikali kupitia wizara ya usalama na maswala ya ndani ya nchi kwa kuhakikisha kwamba kaunti hiyo pia inapewa maafisa wa akiba […]
-
SERIKALI YASHUTUMIWA KWA KUENDELEZA UBAGUZI KATIKA VITA DHIDI YA UHALIFU BONDE LA KERIO.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kulalamikia jinsi serikali inavyoshughulikia swala la utovu wa usalama katika kaunti za bonde la kerio wakidai inaendeleza ubaguzi katika kuhakikisha hali ya usalama […]
Top News








