Sports
-
Mchezaji wa Arsenal alazwa hospitalini baada kudungwa kisu na mwendawazimu
•Mari alikuwa miongoni mwa watu sita ambao walishambuliwa kwa kisu na mwendawazimu mmoja kwenye jumba la maduka katika jiji la Milan jana jioni. •Arsenal ilituma ujumbe wake wa faraja kwa […]
-
Aston Villa Yamteua Aliyekuwa Kocha wa Arsenal Unai Emery Baada ya Steven Gerrard Kutimuliwa.
Aston Villa wamemteua kocha wa Villareal, Unai Emery kuwa kocha mpya wa klabu hiyo baada ya Steven Gerrard kupigwa kalamu Emery atawachana na majukumu yake Uhispania, ambapo kwa sasa Villareal […]
-
TESTESI KUU ZA SOKA ULAYA
Mkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta amesema kwamba klabu yake inahitaji kumsajili beki mwengine wa ubavu wa kushoto atakayemsaidia beki wa sasa wa nafasi hiyo kieran tierney. Maneja huyo wa the […]
-
LAMPARD CHINI YA PRESHA KUBWA
Mnoaji wa chelsea muimgereza frank lampard amekiri kwamba anakabiliwa na presha kali pale stamford brige kutokana na misururu ya matokeo duni walioandikissha vijana wake katika mechi zao za hivi majuzi.Kipigo […]
-
OLUNGA KUPIGA KIPUTE CHA FIFA WORLD CLUB
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya soka harambee satars michael olunga amepata fursa ya kushiriki katika kipute cha klabu bingwa duniani maarufu kama fifa world club makala ya ya mwaka […]
-
MAAFISA WA NOC-K NA AK WAWATEMBELEA WANARIADHA KAPTAGAT
Maafisa wa kamati ya olimpiki humu nchini NOC-K pamoja na maafisa wa shirikisho la riadha nchini AK-atheletic Kenya wamezuru kambi ya mazoezi ya wanariadha ya Global Sports Communication kule Kaptagat […]
Top News