OLUNGA KUPIGA KIPUTE CHA FIFA WORLD CLUB


Mshambuliaji wa timu ya taifa ya soka harambee satars michael olunga amepata fursa ya kushiriki katika kipute cha klabu bingwa duniani maarufu kama fifa world club makala ya ya mwaka wa 2020.kipute hicho inatarajiwa kuandaliwa katika taifa la qatar kuanzia tarehe 4 mwezi ujao.
Olunga amepata fursa hiyo baada ya kalbu yake aliyojuiunga nayo hivi majuzi al-duhail ya kule qatar kuapatiwa tikiti ya moja kwa moja baada ay wapinzani wao auckland city kujiondoa.
Timu hiyo ya newzealand inasemekana kujiondoa kutokana na masharti makali ya kudhibiti msambo wa virusi vya corona iliyowekwa na serikali ya nchi hiyo.