HARRY KANE KUJIUNGA NA MASHETANI WEKUNDU.

Tetesi za soka.

Manchester United wanajiandaa kutoa dau la pauni milioni 80 kumnunua mshambuliaji wa Tottenham na England Harry Kane, 29, baada ya mtendaji mkuu wa klabu Richard Arnold kuidhinisha mpango huo.