Sports
-
TESTESI KUU ZA SOKA ULAYA
Mkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta amesema kwamba klabu yake inahitaji kumsajili beki mwengine wa ubavu wa kushoto atakayemsaidia beki wa sasa wa nafasi hiyo kieran tierney. Maneja huyo wa the […]
-
LAMPARD CHINI YA PRESHA KUBWA
Mnoaji wa chelsea muimgereza frank lampard amekiri kwamba anakabiliwa na presha kali pale stamford brige kutokana na misururu ya matokeo duni walioandikissha vijana wake katika mechi zao za hivi majuzi.Kipigo […]
-
OLUNGA KUPIGA KIPUTE CHA FIFA WORLD CLUB
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya soka harambee satars michael olunga amepata fursa ya kushiriki katika kipute cha klabu bingwa duniani maarufu kama fifa world club makala ya ya mwaka […]
-
MAAFISA WA NOC-K NA AK WAWATEMBELEA WANARIADHA KAPTAGAT
Maafisa wa kamati ya olimpiki humu nchini NOC-K pamoja na maafisa wa shirikisho la riadha nchini AK-atheletic Kenya wamezuru kambi ya mazoezi ya wanariadha ya Global Sports Communication kule Kaptagat […]
Top News