News

  • RUTO ATAKIWA KUFANYA MAPATANO NA WAKOSOAJI WAKE

    Rais mteule William Ruto ameendelea kupokea shinikizo za kufanya mapatano na viongozi waliokuwa wakosoaji wake wakumbwa katika kipindi ambacho alikuwa akihudumu kama naibu rais.Tom Juma ambaye ni mwenyekiti wa chama […]

  • FURAHA YA KUUNGANA NA JAMAA BAADA YA ZAIDI YA MIAKA MIWILI.

    Wananchi wametakiwa kuwatunza vyema jamaa zao wenye matatizo ya akili kutokana na changamoto zinazotokana na watu hao katika jamii, na vile vile kufanya mazoea kutumia idara ya polisi kuwasaka iwapo […]

  • RUTO APONGEZA UCHAGUZI WAKE AKIMIMINIA SIFA IEBC.

    Rais mteule William Samoei Ruto amewapongeza wakenya ambao walijitokeza kupiga kura na kuhakikisha kuwa anatwaa uongozi wa taifa hili.Akizungumza baada ya kutangazwa rasmi kuwa rais wa tano wa taifa hili, […]

  • WILLIAM RUTO ATANGAZWA RAIS WA TANO WA KENYA.

    Hatimaye naibu rais William Ruto aliyewania urais kupitia chama cha UDA ametangazwa rasmi rais mteule wa taifa hili la Kenya.Akitangaza rasmi matokeo hayo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na mipaka […]

  • KACHAPIN AAHIDI KUBADILISHA SURA YA POKOT MAGHARIBI.

    Kaunti ya pokot magharibi imepata sura mpya baada ya Gavana mteule wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin kuahidi kuhakikisha kuwa anatumia miaka mitano ambayo amekabidhiwa kuongoza kaunti hii […]

  • KACHAPIN ATEULIWA TENA GAVANA WA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI.

    Mwaniaji ugavana katika kaunti hii ya Pokot magharibi kupitia chama cha UDA Simon Kachapin hatimaye ametangazwa mshindi katika kinyang’anyiro cha ugavana kaunti hii.Hii ni baada yake Kachapin kuibuka mshindi kwenye […]

  • LOCHAKAPONG APONGEZA UTEUZI WAKE.

    Mbunge wa Sigor katika kaunti hii ya Pokot magharibi ameahidi kushirikiana na viongozi wote eneo hilo ili kuhakikisha kuwa wakazi wa eneo hilo wananufaika kimaendeleo.Akizungumza baada ya kuhifadhi kiti hicho, […]

  • MIITO YA AMANI YATOLEWA IEBC IKIENDELEA KUWATANGAZA WASHINDI WA UCHAGUZI.

    Miito imeendela kutolewa kwa wananchi kuendela kuwa na subira wakati tume ya uchaguzi IEBC inapoendelea kusubiriwa kutangaza matokeo ya wawaniaji wa viti mbali mbali katika shughuli ya upigaji kura ambayo […]

  • LUMUNOKOL ASHUTUMU VURUGU ZILIZOSHUHUDIWA NASOKOL

    Mbunge wa Kacheliba ambaye ni mwenyekiti wa chama cha UDA katika kaunti hii ya Pokot magharibi Mark Lumnokol ameshutumu kisa cha kupatikana mwanamke mmoja akitia saini makaratasi ya kupigia kura […]

  • CHAGUZI ZA UBUNGE POKOT KUSINI NA KACHELIBA ZAAHIRISHWA.

    Uchaguzi maeneo bunge ya kacheliba na Pokot kusini katika kaunti hii ya Pokot magharibi umesitishwa.Kulingana na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi IEBC Wafula Chebukati uamuzi huo uliafikiwa kufuatia mkanganyiko kwenye […]