News
-
MAWAZIRI WAPIGWA MSASA NA BUNGE POKOT MAGHARIBI
Mawaziri waliopendekezwa kuhudumu katika baraza la mawaziri la kaunti hii ya Pokot magharibi hatimaye wamepigwa msasa na kamati ya bunge la kaunti. Akifika mbele ya kamati hiyo Esther Chelimo ambaye […]
-
SERIKALI YA LONYANGAPUO YASUTWA KWA KUWATELEKEZA WAATHIRIWA WA MAPOROMOKO YA ARDHI.
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameendelea kushutumu uongozi uliotangulia kwa kuwatelekeza wakazi walioathiriwa na maporomoko ya ardhi miaka mitatu iliyopita baada ya kupatikana katika afisi za […]
-
SAVE MOTHERS LAJITOLEA KUPUNGUZA VIFO VYA KINA MAMA WANAPOJIFUNGUA.
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameelezea kujitolea kwa serikali yake kuimarisha sekta ya afya katika kaunti hii kwa lengo la kuhakikisha kuwa wakazi wanapokea huduma bora […]
-
GAVANA WA POKOT MAGHARIBI AMEAHIDI KUWAONDOA WAFANYAKAZI HEWA
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin amekariri kuwa serikali yake itafanya ukaguzi wa kina ili kuwaondoa wafanyikazi wote hewa anaodai kuwa wamechangia kupotea fedha za serikali ambazo […]
-
POLISI WAMEOKOA MSHUKIWA WA WIZI KAUNTI YA TRANSNZOIA
Maafisa wa Polisi mjini kitale wamelazimika kutumia Vitoza machozi kuwatawanya Wahudumu wa Bodaboda waliojawa Gadhabu ambao wamekuwa wakimpiga mshukiwa wa wizi wa pikipiki kwa mawe na vifaa Butu. Mmoja wa […]
-
VISA VYA DHULUMA DHIDI YA WAKENYA SAUDI ARABIA VYAENDELEA KURIPOTIWA.
Familia ya Betty Wanjala mwenye umri wa miaka ishirini na mitano na mkaazi wa kijiji cha Pombo mtaani lesos katika kaunti ya Trans nzoia imeomba serkali kuingilia kati na kumrejesha […]
-
WAKULIMA WATAKIWA KUJISAJILI KUPOKEA MBOLEA YA BEI NAFUU POKOT MAGHARIBI.
Wakulima katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kutumia mbolea ya bei nafuu ambayo serikali ya Kenya kwanza ilitoa kwa ajili ya wakulima katika juhudi za kuhakikisha kwamba uzalishaji wa […]
-
VISA VYA NDOA ZA MAPEMA BADO VINASHUHUDIWA ENEOBUNGE LA KACHELIBA
Wadau mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia kuendelea kushuhudiwa visa vya ndoa pamoja na mimba za mapema kwa watoto wa kike licha ya juhudi ambazo zinawekwa katika […]
-
UONGOZI ULIOTANGULIA WA LAUMIWA KWA KUTOTEKELEZA MIUNDO MSINGI POKOT MAGHARIBI
Mbunge wa Kapenguria katika kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto amelaumu uongozi uliotangulia maeneo anayoshuhudia ukosefu wa usalama hasa eneo la Tiati katika kaunti ya Baringo kwa kuchangia visa […]
-
WAZAZI WATAKIWA KUSHUGHULIKIA HALI YA WANAO KUTUMWA NYUMBANI KILA MARA KARO.
Wazazi katika kaunti hii ya Pokot Magharibi wameshauriwa kushirikiana na uongozi wa shule ili kuhakikisha kuwa wanao wanasalia shuleni na kuendeleza shughuli za masomo. Ni wito wake mwenyekiti wa bodi […]
Top News










