News
-
WENYEJI TRANS NZOIA WAMLAUMU MWANAKANDARASI KWA KUTOZINGATIA MASHARTI NA SHERIA ZOTE ZA BARABARA NCHINI.
Wenyeji kaunti ya Trans-Nzoia wanalalamikia hali mbovu ya magari ya mwanakandarasi wa China State Construction Engineering Corporation anayekarabati barabara kuu ya Kitale -Suam kwa kila ametaja kutozingatia masharti na sheria […]
-
SHULE KWENYE KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI ZAZINGATIA MASHARTI YA KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA
Shule nyingi katika kaunti ya Pokot Magharibi zimezingatia kikamilifu masharti ya kukabili maambukizi ya virusi vya corona yaliyowekwa na serikali ili kuzuia maambukizi miongoni mwa wanafunzi.Akizungumza baada ya kukagua miradi […]
-
WAGONJWA WA FIGO WANAOSAKA HUDUMA KATIKA HOSPITALI YA KAPENGURIA WALALAMIKIA HUDUMA DUNI
Wagonjwa wanaotafuta huduma za matatizo ya figo katika hospitali ya Kapenguria kaunti hii ya Pokot Magharibi wamelalamikia huduma duni katika kitengo hicho.Wakiongozwa na Lucy Lotee wakazi hao wamesema huduma katika […]
-
JOSHUA KUTUNY APONGEZA JUBILEE KWA KUMTEUA KAMA NAIBU KATIBU MKUU WA CHAMA HICHO
Naibu katibu mkuu mpya wa chama cha Jubilee Joshua Kutuny amepongeza chama hicho kufuatia uteuzi wake katika nafasi hiyo baada ya mbunge wa Soy Caleb Kositany kutimuliwa.Akizungumza na wanahabari katika […]
-
WANAUME AMBAO WANADAIWA KUWABAKA NA KUWAPACHIKA MIMBA WANAFUNZI ELFU 10 KWENYE KAUNTI YA TRANS NZOIA KUSAKWA
Kamanda wa polisi kwenye kaunti ya Trans Nzoia Fredrick Ochieng’ ameanzisha oparesheni ya kuwakamata wanaume ambao wanadaiwa kuwabaka na kuwapachika mimba wanafunzi elfu 10 kwenye kaunti hiyo.Hii inafuatia agizo alilotoa […]
-
WAKULIMA POKOT MAGHARIBI WASHAURIWA KUTAYARISHA MASHAMBA YAO HUKU MVUA IKITARAJIWA KUANZA HIVI KARIBUNI
Wakulima katika kaunti hii ya Pokot magharibi hasa kutoka nyanda za juu wametakiwa kuendelea kuandaa mashamba yao kwa msimu wa upanzi mvua inapotarajiwa kuanza kushuhudiwa maeneo hayo.Haya ni kulingana na […]
-
WAFUASI WA UDA POKOT MAGHARIBI WAVUNJA KIMYA CHAO KUHUSU KUTIMULIWA CALEB KOSITANY KUTOKA KWA CHAMA CHA JUBILEE
Wafuasi wa chama cha UDA kichohusishwa na naibu wa rais William Ruto katika kaunti hii ya Pokot Magharibi wametoa hisia zao kuhusiana na kutimuliwa kwa Caleb Kositany kutoka kwenye Chama […]
-
WANAFUNZI ELFU 1,070 WALIPACHIKWA MIMBA WAKATI WA LIKIZO YA CORONA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Jumla ya wanafunzi 1,070 walipachikwa mimba katika kaunti hii ya Pokot Magharibi wakati wakiwa nyumbani katika likizo ndefu iliyotokana na kufungwa shule baada ya kuripotiwa maambukizi ya virusi vya corona […]
-
RUTO ALAUMIWA KWA TOFAUTI ZINAZOSHUHUDIWA BAINA YAKE NA RAIS UHURU KENYATTA
Tofauti baina ya rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto zikiendelea kushuhudiwa, wadau mbali mbalimbali wameendelea kulaumu upande wa naibu rais kwa mizozo baina ya wawili hao.Akizungumza na wanahabari […]
-
SIMON KACHAPIN ATEULIWA KUHUDUMU KAMA KATIBU KATIKA WIZARA YA MICHEZO NA UTAMADUNI
Katibu katika wizara ya michezo na utamaduni Simon Kachapin amempongeza rais Uhuru Kenyatta kwa kumteua kuhudumu katika wizara hiyo mpya.Kachapin ambaye awali alihudumu katika wizara ya kawi, amemhakikishia rais kuwa […]
Top News