News
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YASHUTUMIWA KWA KUKITHIRI UFISADI.
Aliyekuwa mshauri wa gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi kuhusu maswala ya siasa Stephen Kolemuk amepongeza juhudi za idara za kukabili ufisadi nchini kuhakikisha maafisa waliohusika katika ufisadi kaunti […]
-
SHULE YA CANON PRICE TAMKAL YAFUNGWA KWA MAJUMA MAWILI
Shule ya upili ya Canon price Tamkal eneo bunge la Sigor imefungwa kwa muda wa majuma mawili.Hii ni baada ya wanafunzi wa shule hiyo kuandamana usiku wa kuamkia jumatatu wiki […]
-
MCHAKATO WA KUFANYIA KATIBA MAREKEBISHO ANDALIWA BAADA YA UCHAGUZI MKUU UJAO WA 2022 ASEMA DKT KIBUNGUCHI
Mbunge wa Likuyani katika kaunti ya Kakamega Dkt Enock Kibunguchi amependekeza mchakato wa kufanyia katiba marekebisho kuandaliwa baada ya uchaguzi mkuu ujao wa 2022.Akizungumza na wanahabari, Kibunguchi amependekeza kwa wananchi […]
-
WAHUDUMU WA AFYA KATIKA HOSPITALI YA SABOTI WANAFANYA KAZI KWENYE MAZINGIRA DUNI
Mwenyekiti wa chama cha wafanyikazi katika kaunti ya Trans Nzoia Samwel Kiboi ameishtumu serikali ya kaunti kufuatia mazingira duni ya kufanyia kazi katika hospitali ya Sabaoti kwenye kaunti hiyo.Akizungumza na […]
-
WAZAZI WASHAURIWA KUWAVUSHA WANAO MITO WANAPOENDA SHULENI
Wito umetolewa kwa wazazi eneo la Kongelai kaunti hii ya Pokot Magharibi kuwa makini na wanao hasa msimu huu wa mvua kubwa na kuhakikisha wanawavusha mito ambayo huenda imefurika ili […]
-
WIZI WA PIKIPIKI WARIPOTIWA MJINI MAKUTANO KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Wahudumu wa boda boda katika kaunti hii ya Pokot Magharibi wameendelea kulalamikia wizi wa pikipiki ambao umeonekana kukithiri hasa mjini makutano.Wahudumu hao sasa wanadai wezi hao wamebadili mbinu ambapo wanabadilisha […]
-
WAKULIMA WATAHADHARISHWA DHIDI YA KUNUNUA MBEGU GHUSHI.
Wakulima nchini wameshauriwa kununua mbegu zao katika maduka na maajenti walioidhinishwa na kampuni ya mbegu nchini Kenya seed kama njia moja ya kukabili matapeli wanaosambaza mbegu ghushi kwa wakulima nchini.Akizungumza […]
-
WAUGUZI TRANS NZOIA WATAKA IDADI YAO KUONGEZWA
Serikali ya kaunti ya Trans-nzoia imetakiwa kuajiri wa uguzi zaidi ili kusaidia kukabiliana na magonjwa mbali mbali ikiwa ni pamoja na janga la covid 19 kwani kwa sasa serikali ya […]
-
KILIO CHA WAKAZI WA KACHELIBA KUHUSU BARABARA CHAJIBIWA
Siku chache tu baada ya wakazi wa Kacheliba kaunti ya Pokot magharibi kulalamikia hali mbovu ya barabara ya kutoka Kacheliba hadi Nakuyen, mwakilishi wadi wa eneo hilo Robert Komole ametoa […]
-
WAUMINI WA KIISLAMU POKOT MAGHARIBI WAPOKEA MSAADA WANAPOADHIMISHA EID UL FITR
Waumini wa dini ya kiislamu kaunti hii ya Pokot magharibi wamepokea msaada wa chakula kutoka viongozi mbali mbali kaunti hii wanapokamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhan hii leo. Akiwasilisha […]
Top News