News
-
VIONGOZI TIATI WAAPA KUSHIRIKIANA KATIKAKUMALIZA WIZI WA MIFUGO.
Viongozi eneo bunge la Tiati kaunti ya Baringo wameahidi kushirikiana na maafisa wa usalama pamoja na wakazi ili kuwakabili wezi wa mifugo wanaodaiwa kutoka eneo bunge hilo.Wakiongozwa na mwakilishi wadi […]
-
HITAJI LA KUWA NA SHAHADA KWA WANAOWANIA NYADHIFA ZA SIASA LAENDELEA KUZUA HISIA.
Hisia mbalimbali zinazidi kutolewa kuhusiana na hitaji la wanaotaka kuwania viti mbalimbali kuwa na shahada.Mwakilishi wadi wa Matumbei eneo bunge la Endebes kaunti ya Trans nzoia Jeremiah Wakhulia amesema iwapo […]
-
ASKARI WA KAUNTI WALAUMIWA KWA KUWADHULUMU WAHUDUMU WA BODA BODA.
Askari wa kaunti mjini makutano kaunti hii ya pokot magharibi wameshutumiwa kutumia nafasi yao kuwadhulumu wahudumu wa boda boda mjini humo.Hii ni baada ya mhudumu mmoja wa boda boda kudaiwa […]
-
NEMA YAENDELEZA OPARESHENI DHIDI YA KARATASI ZA PLASTIKI
Mfanyibiashara mmoja mjini chepareria kaunti hii ya Pokot magharibi anazuiliwa na maafisa wa polisi baada ya kukamatwa jana na maafisa kutoka mamlaka ya mazingira NEMA kwa kupatikana na karatasi za […]
-
MIMBA ZA MAPEMA ZINGALI CHANGAMOTO POKOT MAGHARIBI.
Wito umetolewa kwa wadau katika kaunti hii ya pokot magharibi kuchangia katika kusuluhisha tatizo la mimba za mapema miongoni mwa wanafunzi hasa wa kike ili kuwawezesha kukamilisha masomo yao.Ni wito […]
-
SERIKALI KULEGEZA MASHARTI YA KUKABILI WIZI WA MIFUGO BARINGO.
Serikali ya kitaifa itaangazia upya mikakati iliyowekwa awali kukabili tatizo la usalama kwenye kaunti ya Baringo na maeneo jirani.Akizungumza baada ya mkutano na viongozi wa eneo bunge la Tiati, mshirikishi […]
-
‘UDA KINGALI CHAMA TANZU CHA JUBILEE’ ASEMA MOROTO.
Mbunge wa kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto amekanusha madai kuwa baadhi ya wendani wa naibu rais William Ruto wanapanga kususia mkutano wa chama cha jubilee unaotarajiwa ili […]
-
UCHACHE WA MVUA WATISHIA USALAMA WA CHAKULA POKOT MAGHARIBI
Wito umetolewa kwa serikali ya kitaifa kupitia wizara ya ugatuzi kuweka mikakati ya kuwasaidia wakazi wa kaunti hii ya pokot magharibi kwa kuleta msaada wa chakula kufuatia tishio la kushuhudiwa […]
-
SERIKALI YA TRANS NZOIA YASHUTUMIWA KWA KUWAHANGAISHA WAFANYIBIASHARA.
Siku moja tu baada ya kushuhudiwa makabiliano baina ya wafanyibiashara na maafisa wa polisi mjini Kitale kaunti ya Trans nzoia, mwakilishi kina mama katika kaunti hiyo Janet Nangabo ameshutumu uongozi […]
-
WAKAZI POKOT YA KATI WALALAMIKIA UHABA WA MAJI
Wakazi wa eneo la masol eneo la Pokot ya kati katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia uhaba wa maji ambapo wanalazimika kutumia bwawa moja la maji pamoja na mifugo […]
Top News