News
-
VIJANA TRANS NZOIA WALALAMIKIA UGUMU WA KUPATA VITAMBULISHO.
Wakazi wa mtaa wa khaluengekaunti ya Trans nzoia wamelalamikia ukosefu wa vitabulisho zaidi ya vijana 500 wakikosa stakabadhi hizo muhimu.Wakazi hao wanadai hatua zao kutaka kupewa stakabadhi hizo zimegonga mwamba […]
-
MAAFISA WA EACC WACHUNGUZA MIRADI YA BUNGE LA POKOT MAGHARIBI
Maafisa wa tume ya maadili na kukabili ufisadi EACC kutoka jijini Nairobi wamefika katika majengo ya bunge la kaunti hii ya pokot magharibi kukagua miradi ambayo imetekelezwa na bunge hilo.Maafisa […]
-
WASHUKIWA WA WIZI WA MIFUGO WAKANA KUHUSIKA WIZI.
Siku moja baada ya kushukiwa kupatikana na mali ya wizi eneo la marich kaunti hii ya Pokot magharibi na hata kufikishwa katika mahakama ya Kapenguria kabla ya kuachiliwa kwa bondi […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUIMARISHA USALAMA ENEO LA BONDE LA KERIO
Serikali imetakiwa kuchukulia kwa uzito swala la usalama katika bonde la kerio kwani shughuli za elimu zimetatizika pakubwa kutokana na ukosefu wa usalama eneo hilo.Ni wito ambao umetolewa na wadau […]
-
BUNGE LA TRANS NZOIA LAPITISHA MAKDIRIO YA BAJETI YA 2021/2022.
Bunge la kaunti ya Trans nzoia hatimaye limepitisha makadirio ya bajeti ya kima cha shilingi bilioni 8.4 ya mwaka wa kifedha 2021/2022 na kumaliza mvutano wa kutotumia fedha hizo ambao […]
-
MSHUKIWA WA WIZI WA MIFUGO KUFIKISHWA MAHAKAMANI KAPENGURIA.
Mshukiwa mmoja wa wizi wa mifugo anatarajiwa kufikishwa leo katika mahakama ya kapenguria kaunti hii ya pokot magharibi kujibu mashitaka ya kupatikana na mifugo wanaoshukiwa kuwa wa wizi katika gari […]
-
KANU YAWAONYA WANACHAMA WAKE DHIDI YA KUSHIRIKI MCHAKATO WA KUMBANDUA SPIKA WA BUNGE LA POKOT MAGHARIBI.
Chama cha KANU kimewaonywa wabunge wa bunge la kaunti hii ya pokot magharibi wanachama wa chama hicho dhidi ya kushiriki mchakato wa kumbandua afisini spika wa bunge la kaunti hii […]
-
WALIMU CHEPTULEL WAHOFIA USALAMA WAO.
Serikali imetakiwa kuimarisha usalama eneo la Cheptulel mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet iwapo inataka shughuli za masomo kuendelea eneo hilo ambako kulishuhudiwa […]
-
PUKOSE ASHUTUMIWA KWA KUDHALILISHA BARAZA LA WAZEE.
Mbunge wa Endebes kaunti ya Trans nzoia Robert Pukose ametakiwa kuomba msamaha kufuatia madai ya kulidhalilisha baraza la wazee wa jamii la sabaot katika kaunti hiyo wakati wa mkutano na […]
-
WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA MVUA INAYOSHUHUDIWA KUPANDA MIMEA YA CHAKULA.
Wito umetolewa kwa wakulima katika kaunti hii ya pokot magharibi kutumia mvua inayoshuhudiwa maeneo mbali mbali ya kaunti hii kuendeleza kilimo cha mimea mbali mbali hasa baada ya kuathirika mahindi […]
Top News










