News
-
VIJANA WAPIGWA JEKI KUPITIA UZINDUZI WA KITUO CHA ICT ENDEBES.
Mbunge wa Endebess kaunti ya Trans nzoia Dkt Robert Pukose amezindua rasmi kituo cha kutoa huduma za mtandao ICT eneo bunge hilo ili kuwasaidia vijana na wenyeji eneo hilo kufanya […]
-
MAKALI YA NJAA YAZIDISHA HOFU TIATI, BARINGO.
Shirika la msalaba mwekundi nchini (kenya red cross) limeelezea wasi wasi wa kuongezeka kwa idadi ya wakenya wanaokabiliwa na tatizo la ukosefu wa chakula iwapo mvua haitashuhudiwa maeneo tofauti nchini.Akiongea […]
-
‘MUGUMO’ WA POKOT MAGHARIBI WAANGUKA.
Baraza la wazee kaunti hii ya Pokot magharibi linatarajiwa kukutana kujadili chanzo cha kuanguka kwa mti wa kihistoria katika kaunti hii unaojulikana kama simotwo au mnagei.Kulingana na mwenyekiti wa baraza […]
-
MIITO YA SIASA ZA AMANI YAENDELEZWA POKOT MAGHARIBI.
Miito imeendelea kutolewa kwa wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi na taifa kwa jumla kudumisha amani hasa wakati huu wa siasa za uchaguzi mkuu wa mwezi agosti ili kuandaa […]
-
AFUENI KWA WEKENYA UNGA UKIPUNGUZWA HADI SHILINGI 100 KWA KIPINDI CHA MAJUMA MANNE YAJAYO.
Katika kipindi cha siku 28 zijazo wakenya watapata fursa ya kununua unga wa mahindi kwa bei ya chini kufuatia tangazo la wizara ya kilimo kwamba mfuko wa unga wa kilo […]
-
MAAFISA TRANS NZOIA WAONYWA DHIDI YA KUJIHUSISHA NA KAMPENI ZA UCHAGUZI.
Maafisa wa serikali ya kaunti ya Trans nzoia wametakiwa kukoma kujihusisha na kampeni za uridhi wa gavana Patrick Khaemba na badala yake kuwahudumia wakazi wakati wakisubiri kumpigia kura mgombea yeyote […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YASUTWA KWA ‘UTENDAKAZI DUNI’.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amewasuta vikali viongozi wa kisiasa katika kaunti hii ambao wanawania nyadhifa za uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwezi agosti, anaodai kuwa […]
-
“MLINICHEZEA KISIASA, NITAWACHEZEA KISIASA.” KAULI YAKE LONYANGAPUO KUHUSU MSAADA WA CHAKULA.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi John Lonyangapuo amepuuzilia mbali madai ya baadhi ya viongozi wa kisiasa kaunti hii kwamba anatumia msaada wa chakula uliotolewa na serikali kwa ajili ya […]
-
LONYANGAPUO AAHIDI USHIRIKIANO WA SERIKALI YAKE NA VIONGOZI WA DINI.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi John Lonyangapuo ameahidi kushirikiana kikamilifu na viongozi wa kidini katika serikali yake iwapo atachaguliwa tena kuongoza kaunti hii kwa muhula wa pili katika uchaguzi […]
-
MAANDALIZI YA UCHAGUZI AGOSTI 9 YAENDELEA KUIBUA TUMBO JOTO.
Tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imetakiwa kuwa na msimamo mmoja kuhusu maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwezi agosti.Ni wito ambao umetolewa na seneta wa kaunti ya Pokot magharibi […]
Top News










