Author: Charles Adika
-
CHAMA CHA KNUT KAKAMEGA CHA SHUTUMU WIZARA YA ELIMU KWA UFUNGUZI WA SHULE MWAKA UJAO
KAKAMEGA Chama cha kitaifa cha walimu KNUT tawi la Kakamega kimeelezea kutoridhishwa na matayarisho ya kufungua shule mwakani kikihofia uwezekano wa ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona.Katika taarifa kwa […]
-
MGOMO WA WAHUDUMU WA AFYA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI YAINGIA SIKU YA NNE
POKOT MAGHARIBI Mgomo wa wahudumu wa afya katika kaunty ya Pokot Magharibi sasa umeingia siku yake ya nne huku wahudumu hao wakitarajiwa kuwahutubia wanahabari.Madaktari hao wanalalamikia kutolipwa marupurupu, bima ya […]
-
SHILINGI HAMSINI YASABABISHA MAUTI
POKOT MAGHARIBI Vijana wawili mjini Makutano kwenye Kaunti ya Pokot Magharibi ambao wamekuwa wakifanya kazi ya kubeba mizigo wamefariki papo hapo baada ya kugombania shilingi hamsini.kulingana na walioshuhudia kisa hicho, […]
-
-
-
CHEMAKUTING’U
Paul Krop Ng’uriareng The premier Pokot show that brings & unite Pokot Nation together
-
-
-
WIZARA YA ELIMU KUANZISHA UJENZI WA MADARASA SITA KATIKA SHULE YA UPILI YA MNAGEI
POKOT MAGHARIBI Mwalimu Mkuu Wa Shule Ya Upili Ya Mnagei Ann Lotuliatum Ameipongeza Wizara Ya Elimu Kwa Kuanzisha Ujenzi Wa Madarasa Sita Katika Shule Hiyo Hali Ambayo Inatarajiwa Kurahisisha Vita […]
-
GAVANA WA POKOT MAGHARIBI ATARAJIWA KUZINDUA MAONYESHO YA KILIMO HIVI LEO
Licha ya kuwapo kwa vitisho vya janga la korona nchini, wizara ya kilimo na mifugo katika kaunti ya Pokot Magharibi leo asubuhi ya leo inatarajiwa kuzindua rasmi maonyesho ya kilimo […]
Top News