Author: Charles Adika
-
-
WAHUDUMU WA AFYA KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI WAPOKEA CHANJO DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA
Wahudumu wa afya kwenye kaunti hii ya Pokot Magharibi leo hii wamepokea kupokea chanjo ya virusi vya corona.Waziri wa afya kaunti hii Jackson Yaralima na maafisa wengine serikalini wamekuwa wa […]
-
-
-
-
-
JOEL ONGORO ATIMULIWA KAMA KIONGOZI WA WENGI KATIKA BUNGE LA KAUNTI YA KAKAMEGA
Jumla ya wawakilishi wadi 69 kati ya 89 wa bunge la kaunti ya Kakamega wamemtimua kiongozi wa wengi Joel Ongoro kutoka kwa wadifa huo kutokana na mzozo wa uongozi unaoshuhudiwa […]
-
GAVANA LONYANG’APUO ALAANI VIKALI KUFURUSHWA KWA WAKAAZI WA CHEPCHOINA
Gavana wa kaunti hii ya Pokot Magharibi John lonyangapuo ameshutumu mbinu iliyotumika kuwafurusha wakazi kutoka ardhi yenye utata ya Chepchoina mpakani pa kaunti hii ya Pokot Magharibi na ya Trans […]
-
CHANJO DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA KUANZA KUTOLEWA HAPO KESHO KATIKA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Waziri wa afya kwenye kaunti hii ya Pokot Magharibi Jack Yaralima amesema kuwa dozi elfu 6 ya chanjo dhidi ya covid 19 tayari imewasili kwenye kaunti hii ya Pokot Magharibi […]
-
WAKULIMA KAUNTI YA UASIN GISHU WATAHADHARISHWA DHIDI YA KUNUNUA PEMBEJEO GHUSHI
Gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandago amesema kuwa serikali yake itafutilia mbali leseni za wafanyibiashara ambao watapatikana wakiuza bidhaa ghushi kwa wakulima kwenye kaunti hiyo na hatua kali […]
Top News









