Author: Charles Adika
-
SERIKALI YA TRANS NZOIA NZOIA YASUTWA KWA KUONGEZEKA UNYAKUZI WA ARDHI
Mwenyekiti wa mashirika yasiyo ya serikali kaunti ya Trans nzoia Kefa Were ameelezea kughadhabishwa na kuendelea kuongezeka visa vya unyakuzi wa ardhi za umma ikiwemo ya makaburi mtaani kibomet mjini […]
-
MOROTO APINGA KUFUNGWA ZAHANATI MAENEO YA MASHINANI
Mbunge wa Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto amekosoa hatua ya kufungwa baadhi ya vituo vya afya kaunti hii hasa maeneo ya mashinani.Akizungumza na kituo hiki Moroto amesema […]
-
SEFA YAZINDUA MRADI WA MAEMBE YA KISASA LOMUT POKOT MAGHARIBI
Shirika la SEFA ambalo ni mshirika wa Northern Rangeland Trust NRT limezindua mradi wa upanzi wa maembe ya kisasa eneo la lomut kaunti hii ya Pokot magharibi katika juhudi za […]
-
-
REGGAE 1065
As usual the best reggae show is here for you,Alfamash & Dj Rayyiz got you covered.
-
JAMII YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI NI JAMII SALAMA
Dunia inafaa kubadili mtazamo wao kuhusu kaunti hii ya pokot magharibi.Haya ni kwa mujibu wa mwakilishi kina mama kaunti Hii Lilian Tomitom ambaye amesema kuwa ni watu wachache tu ambao […]
-
WAKUU WA USALAMA KAUNTI YA NAKURU KUWAKABILI WALE AMBAO WANAKIUKA MASHARTI YA KUZUIA MAAMBUKIZI YA CORONA
Wakuu wa usalama kaunti ya Nakuru wameapa kuendeleza msako wa watu wanaokiuka masharti yaliyowekwa na serikali ili kukabili msambao wa virusi vya korona.Naibu kamishna eneo la Nakuru mashariki Erick Wanyonyi […]
-
PILKA PILKA
Ungana naye Angela Cherono pamoja na Marango Kizito Macho kwanzia saa nne asubuhi hadi saa nane mchana
-
-
Top News







