Author: Charles Adika
-
SERIKALI IMESHAURIWA KUWAKAMATA WALIOTEKELEZA MAUAJI YA AFISA WA GSU KAPEDO
Mwakilishi mteule katika wadi ya Mnagei kaunti ya Pokot Magharib Elijah Kasheusheu amelaani na kushutumu utovu wa usalama unaoendelea kushuhudiwa katika eneo la kapedo kaunti ya Turkana.Kwenye mahojiano ya kipekee […]
-
VIONGOZI WA KAUNTI YA POKOT WATAKA USALAMA KUIMARISHWA KAPEDO
Wakaazi wa kaunti hii ya Pokot Magharibi wakiongozwa na viongozi mbali mbali wa kisiasa wamejitokeza na kulaani vikali makabiliano ambayo yanaendelea kushuhudiwa katika eneo la Kapedo.Wakiongozwa na mbunge wa Kacheliba […]
-
HATIMAYE GAVANA WA POKOT MAGHARIBI PROFESA JOHN LONYANG’APUO AJITOKEZA BAADA YA KUCHUKUA LIKIZO FUPI
Baada ya kutoweka kwa kipindi cha mwezi moja huku maswali mengi yakiulizwa na wakaazi wa Pokot Magharibi waliotaka kujua alipo gavana wao hatimaye gavana John Lonyangapuo amejitokeza akiwa ameandamana na […]
-
IEBC YAANZA SHUGHULI YA KUKAGUA STAKABADHI ZA WAGOMBEA KITI CHA UWAKILISHI WADI YA HURUMA KWENYE KAUNTI YA UASIN GISHU
Tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imezingua shughuli ya kukagua stakabadhi za wagombea kiti cha uwakilishi wadi ya huruma kwenye kaunti ya Uasin Gishu.Afisa wa IEBC ambaye anayesimamia shughuli […]
-
SERIKALI YA BUSIA YASHIKILIA MSIMAMO WAKE WA KUTOWALIPA WAHUDUMU WA AFYA AMBAO WANAGOMA
Serikali ya kaunti ya Busia imeshikilia kwamba haitawalipa wahudumu wa afya ambao wanaendelea kushiriki mgomo na kulemaza huduma katika hospitali za uma kwenye kaunti hiyo.Gavana wa kaunti hiyo Sospeter Ojamong’ […]
-
HALI YA TAHARUKI INGALI IMETANDA ENEO LA KAPEDO TURKANA MASHARIKI
Hali ya taharuki bado imetanda katika eneo la Kapedo Turkana Mashariki baada ya afisa mkuu wa oparesheni wa kitengo cha GSU nchini Emmadau Tebakol kuuliwa kwa kupigwa risasi na watu […]
-
WAKAAZI WALALAMA KUHUSIANA NA KUPOROMOKA KWA CHUO CHA KIUFUNDI CHEPARERIA POKOT KUSINI
Wakati habari njema za ujenzi wa chuo cha kiufundi cha Chepareria katika eneo bunge la Pokot Kusini zilipo wafikia wakazi mwaka wa 2013,wengi walikuwa na matumaini mengi .Hata hivyo, miaka […]
-
SERIKALI KUU IMECHELEWA KUNUNUA MAZAO YA WAKULIMA KWENYE KAUNTI YA TRANS NZOIA
Wakulima wa mahindi katika kaunti ya Trans Nzoia wamelalamikia hatua ya serkali kuchelewesha shughuli ya kununua mazao yao kwenye maghala ya bodi ya mazao na nafaka NCPB licha ya kutangazwa […]
-
ASILIMIA 80 YA WANAFUNZI KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI TAYARI WAMEREJEA SHULENI KWA MUHULA WA PILI
Wazazi wametakiwa kuhakikisha kwamba wanafunzi wote wamerejea shuleni kwa muhula wao wa pili baada ya likizo ndefu ya korona.Wakizungumza katika shule ya Upili ya wasichana ya Nasokol baada ya kuzizuru […]
-
MWANAMME AJITIA KITANZI KAKAMEGA BAADA YA KUMPATA MKEWE AKIONGEA NA MWANAMME MWINGINE
Hali ya majonzi imetanda katika kijiji cha Shikoti eneo bunge la Llurambi kaunti ya Kakamega baada ya mwanamme wa miaka 37 kwa jina Simon Akhonya kujitia kitanzi kwa madai kuwa […]
Top News