Author: Charles Adika
-
BWENI LA SHULE YA UPILI YA WAVULANA YA GOSETA IMETEKETEA
Shule ya upili ya wavulana ya Goseta kwenye kaunti ya Trans Nzoia imekuwa ya hivi punde kuteketea usiku wa kuamkia leo huku wazima moto kwa ushirikiano na wananchi wakifanikiwa kuuzima […]
-
WATU WANAOWAPACHIKA MIMBA WASICHANA WENYE AKILI TAHIRA WAONYWA KULE KAKAMEGA
Viongozi wa jamii ya watu wanaoishi na changamoto za ulemavu kaunti ndogo ya Navakholo kule Kakamega wametoa onyo kali kwa wanaumme walio na hulka ya kuwapachika wasichana wenye akili tahira […]
-
JAMII YA POKOT YAENDELEA KUELIMISHWA KUHUSIANA NA ATHARI ZA KUKEKETA NA KUOZA MABINTI MAPEMA
Shirika la World Vision limeendeleza shughuli ya kuihamasisha jamii dhidi ya ukeketaji na kuwaoza mabinti mapema katika kaunti ya Pokot Magharibi.Akizungumza katika hafla iliyoandaliwa katika eneo la Sook kwenye Eneobunge […]
-
MWANAMME AIAGA DUNIA BAADA YA KUDUNGWA KISU MARA KADHAA BAADA YA KUTOFAUTIANA NA MWENZAKE KWA SABABU YA SALAMU
Mwanamme mmoja mkaazi wa kijiji cha Kapkonga kwenye eneobunge la Keiyo Kusini katika kaunti ya Elgeyo Marakwet ameuliwa kwa kudungwa kisu mara kadhaa baada ya kutofatiana vikali na mwezake kuhusu […]
-
HOSPITALI YA RUFAA YA LODWAR HAINA VIFAA VYA KUTOSHA VYA KUWASHUGHULIKIA WAGONJWA
Baadhi ya viongozi kwenye kaunti ya Turkana wamekashfu vikali utepetevu katika hospitali ya rufaa ya Lodwar wakisema hospitali hiyo haina vifaa vya kutosha kuwahudumia wagonjwa mahututi.Hali hiyo imewalazimu wagonjwa kupelekwa […]
-
KISA CHA WABUNGE SIMBA ARATI NA SILVANUS OSORO KURUSHIANA MAKONDE CHA ENDELEA KUSHTUMIWA VIKALI
Wafuasi wa naibu wa rais Wiliam Ruto na kinara wa chama cha ODM Raila Odinga walioko kwenye kaunti ya Pokot Magharibi wamekishutumu vikali kisa cha kukabiliana kwa makonde kwa mbunge […]
-
FAMILIA BUSIA YALILIA HAKI BAADA YA MAHAKAMA KUWANYIMA HAKI
Familia moja kule Nambale kaunti ya Busia inalilia haki baada ya kesi dhidi ya maafisa wa polisi ambao wanadaiwa kuwadhulumu zaidi ya miezi 10 iliyopita kutupiliwa mbali.Familia hiyo ya mzee […]
-
ZAIDI YA WATAHINIWA MILIONI MOJA HAWAWEZI KUAFIKIA ASILIMIA 50 YA ALAMA STAHIKI KWENYE BAADHI YA MASOMO
Baraza la Mitihani nchini KNEC imesema kuwa zaidi ya watahiniwa milioni 1 wa KCPE mwaka huu hawawezi kuafikia asilimia 50 ya alama stahiki katika masomo mbali mbali.Baraza hilo liliandaa ripoti […]
-
OPARESHENI NAYOTEKELEZWA KAPEDO IMESHTUMIWA VIKALI NA MUUNGANO WA WACHUNGAJI POKOT MAGHARIBI
Muungano wa wachungaji katika kaunti ya Pokot Magharibi wamekashifu oparesheni inayoendelea katika eneo la Kapedo kwa zaidi ya wiki mbili sasa.Wakiongozwa na Ronald Chumum, wamesema kuwa hawana pingamizi na oparesheni […]
-
RAIS KENYATTA ASHAURIWA KUKAMILISHA MIRADI ALIYOAHIDI KATIKA KAUNTI YA BUSIA
Siku chache tu baada ya rais Uhuru Kenyatta kukutana na wabunge wa Mlima Kenya baadhi ya viongozi wa eneo la magharibi sasa wanamtaka Rais Uhuru Kenyatta kuanzisha ama kukamilisha miradi […]
Top News