Author: Charles Adika
-
WATU WAWILI WAAGA DUNIA KUFUATIA UVAMIZI ENEO LA KABEN ELGEYO MARAKWET.
Watu wawili waliuwawa akiwemo mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kikuu cha laikipia kwa kupigwa risasi wengine wawili wakiuguza majeraha mabaya baada ya wavamizi wanaoaminika kutoka eneo la pokot […]
-
VIONGOZI WAELEZEA WASIWASI WA KUSHUHUDIWA BAA LA NJAA POKOT MAGHARIBI.
Viongozi katika kaunti hii ya pokot magharibi wameendelea kutolea wito serikali kuu kuweka mikakati ya kuwasaidia wakazi wa kaunti hii ambao wataathirika na baa la njaa kutokana na ukame ambao […]
-
-
WATU WATATU WAFARIKI BAADA YA KUFUNIKWA NA MGODI POKOT KUSINI.
Wachimba migodi watatu wameripotiwa kufunikwa na mchanga walipokuwa wakichimba migodi eneo la Murian katika wadi ya Batei eneo bunge la Pokot kusini baada ya kuporomoka mgodi huo.Kulingana na Jackson Lomuk […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUFUNGA VICHINJIO VYA PUNDA.
Wakulima wanaofuga punda wametakiwa kuwatunza vyema wanyama hao ambao mara nyingi wamekuwa wakitelekezwa pakubwa.Ni wito wake afisa katika shirika lisilo la kiserikali la Farming Systems Kenya Humphrey Wafula ambaye amesema […]
-
RAIS ATAKIWA KUSHUGHULIKIA SWALA LA MASKWATA TRANS NZOIA.
Rais Uhuru Kenyatta anapotarajiwa kuzuru eneo la bonde la ufa, wakazi wa kaunti ya Trans nzoia wamemwomba kuangazia tatizo la maskwota na unyakuzi wa ardhi zilizotengewa taasisi za elimu miongoni […]
-
VIONGOZI WA UDA WAENDELEA KUKIPIGIA DEBE POKOT MAGHARIBI.
Viongozi wanaounga mkono chama cha UDA kinachohusishwa na naibu rais William Ruto katika kaunti hii ya pokot magharibi wameendelea kukipigia debe chama hicho.Mbunge wa kapenguria Samwel Moroto ameelezea imani kuwa […]
-
-
VIONGOZI TIATI WAAPA KUSHIRIKIANA KATIKAKUMALIZA WIZI WA MIFUGO.
Viongozi eneo bunge la Tiati kaunti ya Baringo wameahidi kushirikiana na maafisa wa usalama pamoja na wakazi ili kuwakabili wezi wa mifugo wanaodaiwa kutoka eneo bunge hilo.Wakiongozwa na mwakilishi wadi […]
-
HITAJI LA KUWA NA SHAHADA KWA WANAOWANIA NYADHIFA ZA SIASA LAENDELEA KUZUA HISIA.
Hisia mbalimbali zinazidi kutolewa kuhusiana na hitaji la wanaotaka kuwania viti mbalimbali kuwa na shahada.Mwakilishi wadi wa Matumbei eneo bunge la Endebes kaunti ya Trans nzoia Jeremiah Wakhulia amesema iwapo […]
Top News









