Author: Charles Adika
-
WATETEZI WA MAZINGIRA KAUNTI YA TRANS NZOIA WALALAMIKIA UJENZI WA SOKO KATIKA MSITU WA SWAM
Baadhi ya viongozi wanaotetea mazingira katika eneo la Swam Endebess kaunti ya Trans Nzoia wamesema kuwa ujenzi wa soko unakusudiwa katika msitu wa Swam huenda ukaathiri vyanzo vya maji katika […]
-
SEKTA YA BODABODA NCHINI INACHANGIA UKUAJI WA TAIFA
Sekta ya bodaboda humu nchini imetajwa kuwa miongoni mwa zinazochangia zaidi katika ukuaji wa uchumi nchini.Mwakilishi wa wadi ya Kapomboi katika kaunti ya Trans Nzoia Bernad Mlipuko ambaye alikuwa mwendeshaji […]
-
SERIKALI KUU NA YA KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI YASHAURIWA KUWEKEZA ZAIDI KATIKA MIUNDO MISINGI YA SHULE
Wito umetolewa kwa serikali ya kaunti hii ya Pokot Magharibi kwa ushirikiano na serikali ya kitaifa kuwekeza zaidi katika miundo msingi kwenye shule za kaunti hii.Ni wito wake mwakilishi wadi […]
-
WANAHARAKATI BUNGOMA WAAHIDI KUWALIPIA DHAMANA WAFUNGWA
Wanaharakati wa vuguvugu la Bungoma Liberation katika kaunti ya Bungoma wameahidiu kushirikiana na idara ya magereza katika kaunti hiyo kuwalipia dhamana wafungwa ambao wanadaiwa kiwango kisichozidi alfu 10 kila mmoja.Akitoa […]
-
WAMILIKI HALALI WA ARDHI TRANS NZOIA WAHAKIKISHIWA USALAMA WA ARDHI ZAO
Serikali imejitolea kikamilifu kusuluhisha mizozo ya ardhi katika kaunti ya Trans nzoia kwa kuwapa hati miliki wamiliki halali.Kamishina wa kaunti hiyo Sam Ojwang amesema serikali imeendelea kuchapisha zaidi ya hati […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YATAKIWA KUSHUGHULIKIA SWALA LA BARABARA ENEO LA CHEMAKEU
Wakazi wa eneo la Chemakeu katika wadi ya Riwo kaunti hii ya Pokot magharibi wametoa wito kwa serikali ya kaunti kupitia idara ya barabara kukarabati daraja linalounganisha eneo la Chemakeu […]
-
WAFANYIKAZI 70 KAUNTI YA BUNGOMA WAHOJIWA NA EACC KWA MADAI YA UFISADI
Tume ya maadili na kukabili ufisadi eacc imewahoji wafanyikazi 70 wa bunge la kaunti ya bungoma kuhusu ufisadi wa shilingi bilioni 3.2Aidha tume hiyo imewapa majuma mawili kurejesha fedha hizo […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUZIDISHA OPARESHENI YA KIUSALAMA MUKUTANI, BARINGO
Wakazi wa eneo la Mukutani, eneo bunge la baringo kusini kaunti ya baringo wanaitaka serikali kuharakisha oparesheni ya kutwaa silaha haramu na kuwakabili wezi wa mifugo.Mmoja wa wakazi eneo hilo […]
-
MOROTO APONGEZWA KWA UJENZI WA BARABARA ENEO BUNGE LA KAPENGURIA
Mwenyekiti wa mamlaka ya barabara za maeneo ya mashinani KERA eneo bunge la Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi Andrew Kodokwang amepongeza kujengwa barabara ya kutoka Limang’ole kupitia Cheptarama hadi […]
-
WAKAZI WA SIGOR WALALAMIKIA KUHANGAISHWA NA MAAFISA WA POLISI
Wakazi wa eneo la Sigor katika kaunti ya Pokot magharibi hasa wafanyibiashara wamelalamikia kuhangaishwa na maafisa wa polisi wanaodai kuwaitisha hongo hasa siku za soko.Wakiongozwa na aliyekuwa diwani wa wadi […]
Top News