Author: Charles Adika
-
-
-
-
BAADHI YA SHULE WADI YA CHEPARERIA ZIMESALIA NYUMA KIMAENDELEO KUTOKANA NA UKOSEFU WA FEDHA
Wadau mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi wetakiwa kujitokeza na kufadhili miradi katika shule mbali mbali katika wadi ya Chepareria eneo bunge la Pokot Kusini.Mwakilishi wadi wa eneo […]
-
WAZAZI KAUNTI YA ELGEYO MARAKWET WASHAURIWA KUWAHIMIZA WANAO KUPANDA MITI
Wito umetolewa kwa wazazi kote nchini kuwahimiza wanao kupanda miti ili kusaidia katika harakati za taifa za kuhifadhi mazingira na kuimarisha kiwango chake cha misitu. Akiongea baada ya kuwaongoza watoto […]
-
VIJANA WASHAURIWA KUTOTUMIWA NA WANASIASA ILI KUZUA VURUGU KAUNTI YA BARINGO
Vijana katika kaunti ya Baringo wameshauriwa kutokubali kutumiwa na wanasiasa ili kuzua vurugu taifa linapojiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao wa mwaka wa 2022. Akiongea kwenye eneo bunge la […]
-
KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUSHUHUDIA MVUA CHACHE MWAKA HUU KUTOKANA NA MABADILIKO YA HALI YA ANGA
Ni wazi kuwa mwaka huu hakutashuhudiwa kiwango cha kutosha cha mvua ikilinganishwa na mwaka jana.Haya ni kulingana na katibu katika wizara ya ugatuzi na maeneo kame Mika Powon ambaye alikuwa […]
-
-
-
Top News