Author: Charles Adika
-
-
-
-
-
MASHARIKA YA KIJAMII YATAKA HAKI ZA WATOTO KULINDWA.
Ili kuhakikisha watoto na kinamama wanaodhulumiwa katika jamii wanapata haki, ni sharti kuwepo mikakati ya kudumu na ushirikiano baina ya mashirika yasiyokuwa ya kiserikali yanayoangazia maswala ya watoto pamoja na […]
-
HOSPITALI YA ST RAPHAEL MATISI YANUFAIKA NA SHILINGI MILIONI 4.1
Siku chache baada ya mbunge wa Saboti Caleb Amisi kuwasilisha mswada kwa kamati ya Afya katika bunge la Kitaifa kutaka bima ya afya ya Kitaifa NHIF kulipa Hospitali ya St […]
-
VIONGOZI WA DINI BUNGOMA WASHUTUMU VISA VYA UTEKAJI NYARA WA WATOTO.
Serikali imetakiwa kuchukua hatua za dharura na kukomesha visa vya utekaji nyara wa watoto na kisha kupatikana wakiwa wameuliwa.Wakiongozwa na mwenyekiti askofu Samwel Manyonyi, muungano wa wahubiri wa alliance of […]
-
‘TUPO TAYARI KUKABILI CORONA’ SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI.
Licha ya kulaumiwa kwa kutojiandaa kukabili janga la corona, serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi imesema kuwa imejiandaa kikamilifu kukabiliana na maambukizi ya virusi hivyo iwapo vitaripotiwa kuongezeka kaunti […]
-
-
Top News