Author: Charles Adika
-
WAFANYIBIASHARA WAELEZEA HOFU YA KUENEA VIRUSI VYA CORONA KONGELAI.
Wafanyibiashara katika soko la Kongelai kaunti hii ya Pokot magharibi wameelezea wasiwasi wa kuenea virusi vya corona eneo hilo kutokana na kutangamana wakazi wengi bila kuzingatia kanuni za kukabili maambukizi […]
-
WAKAZI KONGELAI POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA MAISHA MAGUMU.
Wakazi wa eneo la kambi chafu eneo la Kongelai katika eneo bunge la Kapenguria kaunti hii ya pokot magharibi wamelalamikia hali ngumu ya maisha wanayopitia huku wakilaumu viongozi kwa kutochukua […]
-
-
-
-
-
HITAJI LA SHAHADA KWA WANAOWANIA NYADHIFA ZA SIASA LAENDELEA KUPINGWA.
Viongozi katika kaunti ya Trans nzoia wameendelea kupinga hitaji la wanaolenga kuwania nyadhifa za kisiasa nchini kuwa na shahada.Mgombea kiti cha ubunge eneo bunge la Cherangíani John Njuguna amesema kuwa […]
-
MUUNGANO WA JUBILEE NA ODM WATILIWA SHAKA POKOT MAGHARIBI.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa nchini kufuatia hatua ya chama cha jubilee na kile cha ODM kutangaza mipango ya kuunda muungano kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2022.Baadhi ya wakazi wa makutano […]
-
WAKAZI NARAMAM WAONYWA DHIDI YA KUTOWAPELEKA WANAO SHULENI.
Wakazi wa eneo la Naramam kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kukumbatia elimu kwa wanao na kuwapeleka shuleni.Ni wito wake naibu wa chifu eneo hilo Julius Korpira ambaye ameonya kuwa […]
-
WAKUU WA SHULE ENEO LA KIPKOMO WAANZISHA MIKAKATI YA KUZUIA MIGOMO SHULENI.
Walimu wakuu katika eneo la kipkomo eneo bunge la Pokot kusini kaunti hii ya Pokot magharibi wameanzisha mikakati ya kuhakikisha kuwa wanakabili visa vya migomo shuleni ambavyo vimepekelea uharibifu wa […]
Top News