Author: Charles Adika
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA ATHARI ZA UKAME.
Mwakilishi wadi ya masol katika kaunti hii ya Pokot magharibi Ariong’o Loporna amelalamikia ongezeko la hali ya ukame eneo hilo.Akizungumza na kituo hiki Loporna amesema kuwa wakazi wengi wa eneo […]
-
CHAMA CHA UDA CHATAKIWA KUZINGATIA UWAZI KATIKA MCHUJO ELGEYO MARAKWET.
Wawaniaji wa viti mbalimbali katika kaunti ya Elgeyo marakwet kupitia chama cha UDA wamewataka wasimamizi wa uteuzi ulioratibiwa kufanyika siku ya alhamisi wiki hii kuhakikisha panakuwa na uwazi katika shughuli […]
-
BAJETI YA YATTANI YAKOSOLEWA NA MASHIRIKA YA KIJAMII
Mashirika ya kutetea haki za kibinadumu Kaunti ya Trans Nzoia yamekosoa bajeti iliyosomwa na waziri wa fedha Ukur Yatani wakisema bajeti hiyo imekosa kuangazia matakwa ya wakenya wengi.Wakiongozwa na Kefa […]
-
BARAZA LA WANAHABARI LAKUTANA NA WANAHABARI POKOT MAGHARIBI KUHUSU UCHAGUZI MKUU UJAO.
Baraza la wanahabari nchini limeandaa kikao na wanahabari wa kaunti hii ya pokot magharibi kuhusu utendakazi wao msimu huu wa siasa za uchaguzi mkuu wa mwezi agosti.Akizungumza baada ya kikao […]
-
WASIWASI WAKUMBA WAKULIMA TRANS NZOIA KUFUATIA KURIPOTIWA VIWAVI JESHI.
Wizara ya kilimo Kaunti ya Trans Nzoia imetangaza kuzuka kwa viwavi jeshi aina ya African fall army worm ambao wameripotiwa na wakulima maeneo mbalimbali Kaunti hiyo wakibainika kuwa hatari ikilinganishwa […]
Top News









