Author: Charles Adika
-
BENKI YA KCB YAANZISHA MCHAKATO WA KUWATAMBUA WANAFUNZI WATAKAOFADHILIWA.
Benki ya KCB tawi la Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi imeanzisha mchakato wa kuwatambua wanafunzi werevu kutoka jamii masikini waliofanya mtihani wa kitaifa kwa darasa la nane KCPE na […]
-
VISA VYA UKEKETAJI VYENDELEA KURIPOTIWA POKOT MAGHARIBI.
Licha ya juhudi za serikali na mashirika mbalimbali ya kijamii kaunti hii ya Pokot magharibi kukabili visa vya ukeketaji imebainika kwamba visa hivyo vinaendelezwa kisiri.Hii ni baada ya mama mmoja […]
-
WAKULIMA WANUFAIKA NA MBOLEA YA BEI NAFUU KIMININI TRANS NZOIA.
Zaidi ya wakulima 41 kutoka ushirika wa KAMISSA eneo bunge la Kiminini wamepokea mbolea ya bei nafuu kupitia kwa mradi wa serikali kuu kwa ushirikiano na new KPCU ambapo wakulima […]
Top News







