Author: Charles Adika
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUKUMBATIA ELIMU YA MTOTO WA KIKE.
Mtoto wa kike katika kaunti hii ya Pokot magharibi ataweza kufanya vyema zaidi katika mitihani ya kitaifa iwapo jamii itawekeza zaidi kwao na kujitenga na ukeketaji pamoja na ndoa za […]
-
RUTO ASUTWA KWA KUINGILIA UBUNGE WA SABOTI TRANS NZOIA.
Mbunge wa Saboti kaunti ya Trans nzoia Caleb Amisi amemsuta naibu Rais William Ruto kwa kile amedai kupanga jinsi atahakikisha anabanduliwa katika kiti hicho kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi agosti […]
-
MTU MMOJA AUAWA KATIKA UVAMIZI SAMARICH.
Taharuki imetanda katika kijiji cha Uncertainty Sarimach mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Turkana baada ya mtu mmoja kufariki, na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya na […]
-
SHULE NNE ZAFUNGWA BARINGO KUSINI KUFUATIA UTOVU WA USALAMA.
Wakazi kwenye baadhi ya maeneo ya Baringo kusini ambako kumeshuhudiwa utovu wa usalama wameendelea kuishi kwa hofu kufuatia kushambuliwa mara kwa mara na watu wanaoaminika kuwa wezi wa mifugo.Uhalifu huo […]
-
WANASIASA WATAKIWA KUHUBIRI AMANI TRANS NZOIA.
Wito umetolewa kwa wanasiasa nchini kuhubiri na kukumbatia amani na utangamano wakati wanapofanya siasa zao za uchaguzi mkuu wa Agosti 9.Akihutubu wakati wa fainali ya kombe la Pukose iliyoandaliwa katika […]
Top News









