Author: Charles Adika
-
WAKUU WA VYUO MAGHARIBI YA NCHI WAITAKA SERIKALI KUTOA FEDHA KWA WAKATI.
Walimu wakuu wanaosimamia vyuo vikuu na vile vya anuwai katika eneo la magharibi ya nchi wameomba serikali kutoa fedha za awamu ya nne kwa wakati unaofaa ili kusaidia matayarisho ya […]
-
MADAI YA LONYANGAPUO YA KUIMARIKA SEKTA YA ELIMU CHINI YA UTAWALA WAKE YAPUUZILIWA MBALI NA VIONGOZI POKOT MAGHARIBI.
Baadhi ya viongozi wa kisiasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamepuuzilia mbali kauli ya gavana John Lonyangapuyo kwamba sekta ya elimu katika kaunti hii imeimarika zaidi chini ya uongozi […]
-
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WALAANI KUTEKETEZWA MABWENI YA SHULE YA MSINGI YA TARTAR.
Viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelaani vikali kisa cha kuteketezwa mabweni mawili katika shule ya msingi ya Tartar.Wakizungumza baada ya kuzuru shule hiyo viongozi hao wakiongozwa na seneta […]
-
VIONGOZI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA IDARA ZA USALAMA KUKABILI UTOVU WA USALAMA BONDE LA KERIO.
Wito umetolewa kwa viongozi wote kutoka kaunti zinazopatikana katika bonde la Kerio kushirikiana na vitengo vya usalama ili kukabili utovu wa usalama eneo hili ambao umepelekea wakazi wengi kupoteza maisha […]
-
VIONGOZI BONDE LA UFA WAPUUZILIA MBALI RIPOTI YA NCIC KUHUSU HALI YA USALAMA ENEO HILO.
Gavana wa kaunti ya Nandi Stephen Sang amekosoa ripoti ya tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa NCIC iliyotaja kaunti 23 kuwa maeneo ambayo yako katika hatari ya kukumbwa na […]
-
Top News









