Author: Charles Adika
-
ONYO YATOLEWA KWA WABAKAJI BUKWO.
Visa vya mimba za mapema, ndoa za mapema pamoja na ubakaji miongoni mwa watoto wa kike vimeripotiwa kukithiri mipakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na taifa jirani la Uganda.Akizungumza […]
-
MUKENYANG AAPA KUBADILISHA DHANA KUHUSU WANASIASA.
Mwaniaji kiti cha mwakilishi kina mama katika kaunti hii ya Pokot magharibi Catherine Mukenyang amesema kuwa atazingatia uwazi katika matumizi ya fedha za umma iwapo atatwaa kiti hicho katika uchaguzi […]
-
MOTO WATEKETEZA SOKO LA MAKUTANO POKOT MAGHARIBI.
Mgombea ugavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi kupitia chama cha UDA Simon Kachapin ameisuta vikali serikali ya gavana John Lonyangapuo kwa kile amesema kuwa utepetevu katika kushughulikia majanga kaunti […]
-
VITA VYA UKRAINE HAVIJAATHIRI GHARAMA YA MAISHA NCHINI; ASEMA RUTO
Mgombea urais wa chama cha UDA William Ruto amepuuzilia mbali madai ya Rais Uhuru Kenyatta kwamba gharama ya juu ya maisha kwa sasa imechangiwa pakubwa na vita baina ya Ukraine […]
-
GHARAMA YA MAISHA NCHINI YAZIDISHA VILIO.
Hisia mbali mbali zimeendelea kuibuliwa nchini kufuatia kuendelea kupanda gharama za bidhaa mbali mbali hasa za kimsingi.Wakiongozwa na Richard poriot mkaazi wa mawingo road viungani mwa mji wa makutano, wakaazi […]
Top News










