Author: Charles Adika
-
UFISADI WATAJWA KUWA KIKWAZO KIKUU KWA UKUAJI WA UCHUMI POKOT MAGHARIBI.
Mwaniaji kiti cha mwakilishi kina mama katika kaunti hii ya Pokot magharibi kupitia chama cha KANU Bi. Catherine Mukenyang amesema kuwa utawala wake utatoa kipau mbele kwa vita dhidi ya […]
-
WAPIGA KURA 220,026 WASAJILIWA POKOT MAGHARIBI
Afisa wa uchaguzi katika tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC kaunti hii ya Pokot Magharibi Joyce Wamalwa amesema Jumla ya wapiga kura alfu 220,026 wamesajiliwa kuwa wapiga kura.Katika mahojiano […]
-
WAGOMBEA NYADHIFA ZA KISIASA WAONYWA DHIDI YA KUVURUGA AMANI.
Idara ya polisi katika kaunti ya Pokot magharibi imetoa wito kwa wagombea nyadhifa mbali mbali za siasa katika uchaguzi mkuu ujao kaunti hii kuhakikisha kwamba wanadumisha amani wakati wanapoendeleza kampeni […]
-
Top News









