Author: Charles Adika
-
MALUMBANO BAINA YA RAIS NA NAIBU WAKE YAKASHIFIWA VIKALI.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wameshutumu majibizano ambayo yanaendelea kushuhudiwa baina ya rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wakiyataja kuwa hatari hasa wakati huu ambapo taifa […]
-
WAGOMBEA NYADHIFA ZA SIASA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUDUMISHA HESHIMA.
Wito umetolewa kwa wagombea nyadhifa za uongozi katika kaunti ya Pokot magharibi kuendesha kampeni zao kwa njia ya heshima, na kutowatumia vijana kuvuruga amani kwa maslahi yao ya binafsi. Aliyekuwa […]
-
-
WAGOMBEA NYADHIFA ZA KISIASA WAONYWA DHIDI YA KUCHOCHEA WANANCHI.
Mgombea ugavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi kwa tiketi ya chama cha UDA Simon Kachapin amewataka wanasiasa wote wanaowania nyadhifa za uongozi kaunti hii kuendesha kampeni zao kwa njia […]
-
KIWANDA CHA KUSINDIKA ASALI CHAZINDULIWA LOMUT.
Shirika la NRT kwa ushirikiano na mashirika mengine limezindua kitengo cha kusindika asali honey Processing unit eneo la Lomut katika kaunti hii ya Pokot Magharibi katika juhudi za kuhakikisha kuwa […]
-
WANASIASA WAONYWA DHIDI YA KUTUMIA MSAADA WA CHAKULA KUJIPIGIA DEBE.
Mwakilishi wadi maalum kaunti hii ya Pokot magharibi Elijah kasheusheu amepongeza hatua ya serikali kutoa msaada wa mahindi kwa ajili ya wakazi wanaokabiliwa na makali ya njaa maeneo mbali mbali […]
Top News









