Author: Charles Adika
-
MWANAMMKE MMOJA ATIWA NGUVUNI KWA MADAI YA KUCHOMA MWANAWE NA MJUKUU WAKE KWA KUTUMIA KIJIKO KIMOTO KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Mama mmoja kutoka eneo la Kamuino kaunti hii ya Pokot magharibi anazuiliwa na maafisa wa polisi wa kituo cha Makutano baada yake kudaiwa kuwajeruhi vibaya mwanaye mmoja pamoja na mjukuu […]
-
WITO WATOLEWA KWA WANANCHI KUWACHAGUA VIJANA KWA WINGI TAREHE TISA MWEZI WA NANE KWA UONGOZI BORA
Ipo haja ya vijana nchini kuungwa mkono na watu wa matabaka yote nchini ili pia wadhihirishe uongozi wao hasa ikizingatiwa kwa kipindi kirefu uongozi wa taifa umekuwa mikononi mwa watu […]
-
SENETA WA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI AMETOA WITO KWA WAKAAZI WA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUWA MAKINI WANAPOPIGA KURA
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ametoa wito kwa makundi ya kina mama, vijana na walemavu kuwa makini katika uchaguzi mkuu wa mwezi agoti katika wadhifa wa […]
-
VIONGOZI WA CHAMA CHA ODM WAMEJITOKEZA KUUNGA MKONO KAULI YA ODINGA KUHUSU SAJILI MBADALA YA WAPIGA KURA KUTUMIKA
Mwenyekiti wa chama cha ODM katika kaunti hii ya Pokot magharibi Joseph Akaule ametetea hatua ya kinara wa muungano wa azimio la umoja one Kenya Raila Odinga kushinikiza sajili mbadala […]
-
VIONGOZI WAENDELEA KULAUMU UONGOZI WA GAVANA WA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Mwakilishi Maalum Ozil Kasheusheu ameendelea kumlaumu Gavana Lonyangapuo kwa madai ya kukawia kwa miradi mingi iliyokuwa kwenye manifesto yake.Akizungumza katika Kipindi Cha Mpigo wa Kalya Radio leo asubuhi, Ozil ametaja […]
Top News









