Author: Charles Adika
-
MATAMSHI YA RUTO YAKASHIFIWA NA VIONGOZI TRANSNZOIA
Viongozi wanaoegemea mrengo wa Kenya kwanza wamekashifu matamshi ya naibu wa rais wiliam ruto aliyetoa dhidi ya waziri wa ulinzi eugine wamalwa wakimwomba ahubiri amani kwa Wakaazi wa Kenya nzimaWakiongozwa […]
-
WAKAAZI ENEO LA SIGOR WAOMBWA KUDUMISHA AMANI WAKATI HUU WA UCHAGUZI
Wito umetolewa kwa wakazi wa kaunti hii ya pokot magharibi kudumisha amani na kutokubali kutumika vibaya na wanasiasa kuvuruga amani kwa manufaa yao ya binafsi hasa wakati huu ambapo taifa […]
-
SHUGHULI YA KUWANUNUA MIFUGO NA KUWACHINJA YAANZA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Serkali kuu ikishirikiana na shirika la msalaba mwekundu imeanzisha mpango wa kununua mifugo na kuwachinjia Wakaazi katika kaunti kumi na tatu za maeneo kame ilikuwanusuru kutokana na athari za ukame […]
-
WAKULIMA WAHADAIWA NCHINI NA SERKALI KUU
Mgombea kiti cha ubunge kwa chama cha UDA Wesley Kipchumba Korir ameisuta serikali kuu kupitia kwa wizara ya Kilimo kwa kuwahadaa wakulima wa mahindi nchini. Akihutubia wenyeji eneo bunge hilo […]
-
ALIYEKUWA SPIKA WA BUNGE LA KAUNTI YA TRANSNZOIA AKOSOLEWA VIKALI
Mgombea kiti cha useneta Kaunti ya Trans Nzoia kwa chama cha ODM Muliro Musoke amekosoa vikali hatua ya aliyekuwa Spika Wa Kaunti ya Trans Nzoia Joshua Werunga kuendelea kukosoa utendakazi […]
Top News









