Author: Charles Adika
-
SERIKALI YAENDELEZA MIKAKATI YA KUWANUSURU WAKAZI KUTOKANA NA MAKALI YA UKAME POKOT MAGHARIBI.
Serikali imeanza mpango wa kununua na kuchinja ng’ombe katika kaunti hii ya Pokot magharibi kwa lengo la kuwanusuru wafugaji dhidi ya hasara ambayo husababishwa na ukame, ambapo pia inalenga kutumia […]
-
MIITO YA AMANI YAENDELEA KUTOLEWA SIKU CHACHE KABLA YA UCHAGUZI MKUU.
Vijana katika Kaunti ya Pokot Magharibi wameapa kutokubali kushirikiana na wanasiasa wanaowatumia kuvuruga mikutano ya wapinzani wao kwa manufaa yao ya binafsi.Wakiongozwa na Stephen machar wakaazi wa kaunti hii wameendelea […]
-
KHAEMBA ATOA CHANGAMOTO KWA MRIDHI WAKE KUMPIKU KIMAENDELEO.
Gavana wa kaunti ya Trans nzoia Patrick Khaemba ambaye anakamilisha hatamu yake ya uongozi amemrai gavana wa pili atakayechaguliwa kuongoza kaunti hiyo kujibidiisha kutekeleza miradi zaidi ya alivyofanya katika mihula […]
Top News








