Author: Charles Adika
-
LONYANGAPUO AAHIDI USHIRIKIANO WA SERIKALI YAKE NA VIONGOZI WA DINI.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi John Lonyangapuo ameahidi kushirikiana kikamilifu na viongozi wa kidini katika serikali yake iwapo atachaguliwa tena kuongoza kaunti hii kwa muhula wa pili katika uchaguzi […]
-
MAANDALIZI YA UCHAGUZI AGOSTI 9 YAENDELEA KUIBUA TUMBO JOTO.
Tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imetakiwa kuwa na msimamo mmoja kuhusu maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwezi agosti.Ni wito ambao umetolewa na seneta wa kaunti ya Pokot magharibi […]
-
WAFANYIKAZI TRANS NZOIA WARIDHIA HATUA YA SERIKALI KUTOA BIMA.
Mwenyekiti wa muungano wa wafanyakazi wa serikali ya kaunti ya Trans Nzoia Samuel Juma Kiboi amepongeza hatua ya serikali ya Kaunti hiyo kutoa bima ya afya kwa wafanyakazi kaunti hiyo akisema […]
-
BAADHI YA VIONGOZI BARINGO WATAKA MARUFUKU YA KUTOKUWA NJE KUONDOLEWA
Viongozi eneo la Baringo kaskazini kaunti ya Baringo wameitaka serikali kuondoa marufuku ya siku 30 ya kutokuwa nje nyakati za usiku ambayo iliwekwa takriban mwezi mmoja uliopita.Wakiongozwa na mwaniaji kiti […]
Top News









