Author: Charles Adika
-
AFUENI KWA WEKENYA UNGA UKIPUNGUZWA HADI SHILINGI 100 KWA KIPINDI CHA MAJUMA MANNE YAJAYO.
Katika kipindi cha siku 28 zijazo wakenya watapata fursa ya kununua unga wa mahindi kwa bei ya chini kufuatia tangazo la wizara ya kilimo kwamba mfuko wa unga wa kilo […]
-
MAAFISA TRANS NZOIA WAONYWA DHIDI YA KUJIHUSISHA NA KAMPENI ZA UCHAGUZI.
Maafisa wa serikali ya kaunti ya Trans nzoia wametakiwa kukoma kujihusisha na kampeni za uridhi wa gavana Patrick Khaemba na badala yake kuwahudumia wakazi wakati wakisubiri kumpigia kura mgombea yeyote […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YASUTWA KWA ‘UTENDAKAZI DUNI’.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amewasuta vikali viongozi wa kisiasa katika kaunti hii ambao wanawania nyadhifa za uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwezi agosti, anaodai kuwa […]
-
“MLINICHEZEA KISIASA, NITAWACHEZEA KISIASA.” KAULI YAKE LONYANGAPUO KUHUSU MSAADA WA CHAKULA.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi John Lonyangapuo amepuuzilia mbali madai ya baadhi ya viongozi wa kisiasa kaunti hii kwamba anatumia msaada wa chakula uliotolewa na serikali kwa ajili ya […]
Top News









