Author: Charles Adika
-
LONYANGAPUO ASUTWA KWA KUTOCHUKUA HATUA KUKABILI BAA LA NJAA POKOT MAGHARIBI.
Mbunge wa kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto amemsuta gavana wa kaunti hii John Lonyangapuo kwa kile amedai kutowajibika katika kushughulikia baa la njaa ambalo linashuhudiwa katika baadhi […]
-
RAILA AAHIDI KUSHUGHULIKIA UTOVU WA USALAMA KERIO VALLEY.
Mgombea urais wa muungano wa azimio Raila Odinga ameahidi kuweka mikakati ya kuimarisha usalama kwenye kaunti za Pokot magharibi, Baringo Elgeyo marakwet na Turkana iwapo atachaguliwa rais katika uchaguzi mkuu […]
-
WASAGAJI NAFAKA TRANS NZOIA WADINDA KUSHUSHA BEI YA UNGA.
Wasagaji nafaka mjini Kitale katika kaunti ya Trans nzoia wamesema kuwa hawatakubali kuuza unga wa mahindi pakiti kilo mbili kwa shilingi 100 hadi serikali itakapowafidia.Wakiongozwa na Robert Wanyonyi, wasagaji nafaka […]
-
WANASIASA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUTOHITILAFIANA NA MAJUKUMU YA WANAHABARI.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amewasuta baadhi ya wanasiasa katika kaunti hii kwa kile amedai kutumia makundi ya vijana kuwatishia wanahabari wanapotekeleza majukumu yao ya kuwaarifu […]
-
‘BABA’ KUZURU WANAWE WAWILI POKOT MAGHARIBI.
Mgombea urais wa chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya Raila Odinga na mgombea mwenza wake Martha Karua wanatarajiwa leo kuzuru kaunti hii ya Pokot magharibi kuendeleza kampeni […]
-
VIJANA WAPIGWA JEKI KUPITIA UZINDUZI WA KITUO CHA ICT ENDEBES.
Mbunge wa Endebess kaunti ya Trans nzoia Dkt Robert Pukose amezindua rasmi kituo cha kutoa huduma za mtandao ICT eneo bunge hilo ili kuwasaidia vijana na wenyeji eneo hilo kufanya […]
Top News










