Author: Charles Adika
-
IDARA YA POLISI KACHELIBA YAPIGA MARUFUKU DENSI ZA USIKU.
Idara ya polisi eneo la kacheliba kaunti ya Pokot magharibi imepiga marufuku hafla zozote za usiku katika eneo hilo hasa msimu huu wa desemba ambao huandamana na sherehe nyingi. Akizungumza […]
-
BAADHI YA WAFANYIKAZI WA KAUNTI POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA KUSITISHWA MISHAHARA YAO.
Baadhi ya wafanyikazi wa serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia kupitia hali ngumu wakidai kutolipwa mishahara licha ya kutoa huduma. Wakizungumza na wanahabari wafanyikazi hao walisema tangu kuajiriwa […]
-
MJADALA KUHUSU UAGIZAJI WA MAHINDI YA GMO WAZIDI KUTOKOTA NCHINI.
Mbunge wa Pokot kusini katika kaunti hii ya Pokot magharibi David Pkosing amemshutumu vikali waziri wa biashara, uwekezaji na viwanda Moses Kuria kufuatia kauli kwamba serikali inapanga kuagiza mahindi magunia […]
-
VISA VYA HIV MIONGONI MWA WATOTO POKOT MAGHARIBI VYATAJWA KUONGEZEKA.
Ni jukumu la kila mmoja katika jamii kuhakikisha kuwa anamlinda mtoto wa kike dhidi ya mimba za mapema na maambukizi ya virusi vya HIV. Ni wito wake afisa katika shirika […]
Top News








