Author: Charles Adika
-
UTEUZI WA LONYANGAPUO KUWA MWENYEKITI WA BODI YA MAJI KASKAZINI MWA BONDE LA UFA WAPONGEZWA.
Hatua ya rais William Ruto kumteua aliyekuwa gavana wa kaunti ya Pokot magharibi John Lonyangapuo kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa shirika la ustawishaji wa maji eneo la kaskazini […]
-
WANAHARAKATI NORTH RIFT WATAJA AGIZO LA WIZARA YA USALAMA KUWA NJAMA YA UNYAKUZI WA ARDHI.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa kufuatia agizo la waziri wa maswala ya ndani ya nchi Prof. Kithure Kindiki la kuwataka wakazi wa maeneo yaliyooredheshwa kuwa maficho ya wezi wa mifugo katika […]
-
WIZARA YA USALAMA YAANGAZIA UPYA MAKATAA YA WAKAZI KUONDOKA MAENEO YALIYOTAJWA KUWA MAFICHO YA WAHALIFU.
Wizara ya maswala ya ndani ya nchi imeangazia upya makataa ya saa 24 kuwataka watu wanaoishi kwenye maeneo 27 yanayoaminika kuwa maficho ya wezi wa mifugo kuondoka wakati huu ambapo […]
-
UKOSEFU WA ELIMU MIONGONI MWA WAKAZI WATAJWA KUWA CHANZO CHA UTOVU WA USALAMA KERIO VALLEY.
Mbunge wa sigor katika kaunti ya Pokot magharibi Peter Lochakapong ametoa wito kwa serikali kuwekeza raslimali nyingi eneo hilo analosema kwamba lingali nyuma zaidi kimasomo ikilinganishwa na maeneo mengine ya […]
-
SERIKALI YATISHIA KUBATILISHA LESENI ZA WANAOCHIMBA MADINI POKOT MAGHARIBI KINYUME CHA SHERIA.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imetishia kubatilisha leseni za baadhi ya wawekezaji ambao wanaendeleza shughuli za kuchimba madini maeneo mbali mbali ya kaunti hiyo. Gavana Simon Kachapin alisema wapo […]
-
WAKAZI WA MAENEO YANAYOKUMBWA NA UTOVU WA USALAMA WAAGIZWA KUONDOKA AWAMU YA PILI YA OPARESHENI YA KIUSALAMA IKIANZA.
Wakazi wa eneo la Tukwel mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi wamelalamikia tangazo la wizara ya maswala ya ndani ya nchi ambalo limewataka kuondoka mara moja eneo hilo kufuatia awamu […]
Top News








