Author: Charles Adika
-
WAFUGAJI WATAKIWA KUPANDA CHAKULA CHA MIFUGO KWA WINGI MSIMU HUU WA MVUA.
Wafugaji katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kutumia msimu huu wa mvua kupanda kwa wingi chakula cha mifugo ili kuwa na uhakikisho wa lishe ya mifugo wakati mvua ikipungua. Akizungumza […]
-
NZI WATAJWA KUWA KERO KATIKA HOSPITALI YA KAPENGURIA POKOT MAGHARIBI.
Wagonjwa katika hospitali ya kapenguria kaunti ya Pokot magharibi wamelalamikia kukithiri nzi katika wadi za hospitali hiyo hali wanayoelezea hofu kwamba huenda ikapelekea mkurupuko wa magonjwa yanayotokana na uchafu. Walisema […]
Top News






