Author: Charles Adika
-
BARAZA LA WAZEE POKOT MAGHARIBI LAPEWA MAKATAA YA SIKU 21 KUFANYA UCHAGUZI MPYA.
Afisi ya mwanasheria mkuu wa serikali imelipa baraza la wazee katika kaunti ya Pokot magharibi siku 21 kufanya uchaguzi wa viongozi wake. Kulingana na mshirikishi wa baraza hilo kanda ya […]
-
WATU WAWILI WAUAWA KWENYE UVAMIZI KAMOLOGON
Taharuki imeendelea kukumba kijiji cha Kamologon mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet baada ya majangili wanaoshukiwa kutoka kaunti jirani kuvamia kijiji hicho na kuwaua […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATAKA VITUO VYA POLISI KUJENGWA KWA WIKI MAENEO YA MIPAKANI ILI KUIMARISHA DORIA ZA KIUSALAMA.
Aliyekuwa mwakilishi wadi maalum kaunti ya Pokot magharibi Grace Rengei ametoa wito kwa serikali kujenga vituo vya polisi maeneo ya mipakani pa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani za […]
-
RUTO: TUTAYAPA MATAKWA YA WANANCHI KIPAU MBELE KATIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO.
Waziri wa barabara katika kaunti ya Pokot magharibi Joshua Ruto amesema serikali ya kaunti hiyo itatekeleza miradi yake ya maendeleo kulingana na matakwa ya wananchi. Akizungumza eneo la Chepareria wakati […]
Top News









