Author: Charles Adika
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATAKA BUNDUKI ZILIZOKABIDHIWA MAAFISA WA NPR KUTWALIWA.
Baadhi ya viongozi kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kuilaumu serikali kupitia wizara ya usalama wa ndani ya nchi kwa kuwakabidhi maafisa wa akiba NPR upande wa Elgeyo marakwet Bunduki na […]
-
KUNDI MOJA LAONGOZA MATEMBEZI YA KILOMITA 367 KUHIMIZA AMANI KASKAZINI MWA BONDE LA UFA.
Kundi moja linaloshughulikia maswala ya amani kutoka kaunti Jirani ya Turkana limeungana na viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi katika matembezi ya kuhimiza amani miongoni mwa jamii za Turkana na […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAHUSISHA HATUA YA KUWAHAMI NPR WA UPANDE WA ELGEYO MARAKWET NA MAUAJI YA WATU WAWILI KAMOLOGON.
Naibu gavana kaunti ya Pokot magharibi Robert Komole amesuta hatua ya wizara ya usalama chini ya waziri Kithure Kindiki kuwakabidhi bunduki maafisa wa NPR wanaohudumu upande wa Elgeyo marakwet na […]
-
POLISI KACHELIBA WAMZUILIA MWANAMME ALIYEJARIBU KUMHEPESHA MWANAFUNZI KWA LENGO LA KUMWOA.
Mwanafunzi wa shule moja ya upili ya Wasichana Eneo bunge la Kacheliba kaunti ya Pokot Magharibi ameokolewa mikononi mwa mwanaume aliyekuwa akijaribu kumtorosha punde tu walipofunga shule mapema jana. Akithibitisha […]
Top News








