Author: Charles Adika
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YALENGA KUJENGA KITUO KIPYA CHA AFYA MJINI MAKUTANO
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi inaendeleza mikakati ya kujenga kituo kipya cha afya mjini Makutano lengo kuu likiwa kupunguza msongamano katika hospitali ya Kapenguria. Akizungumza wakati akikagua eneo ambako […]
-
CHUO KIKUU CHA ELDORET CHAENDELEZA MRADI WA KUHIFADHI UDONGO NA KUTUNZA MAZINGIRA CHEPARERIA.
Chuo Kikuu Cha Eldoret kupitia kwa Wakfu wa Utunzaji wa Mazingira na uzalishaji kupitia ukulima kinaendeleza mradi wa kuzuia mmomonyoko wa udongo kwa kujenga vizuizi kwenye mikondo ya maji katika […]
-
ONYO YATOLEWA KWA WACHOMAJI MAKAA ENEO LA RIWO, POKOT MAGHARIBI.
Wakazi wa eneo la Riwo kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kutunza vyema miti eneo hilo na kutojihusisha na shughuli ya ukataji miti kwa ajili ya kuendeleza biashara ya makaa. Ni […]
-
RAIS ATAKIWA KUCHUKUA HATUA NA KUMALIZA MARA MOJA ‘MCHEZO’ WA RAILA.
Mwakilishi wadi mteule kaunti ya Pokot magharibi Elijah Kasheusheu ametoa wito kwa rais William Ruto kusimama kidete na kukabiliana na vinara wa chama cha muungano wa azimio la umoja one […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA MAFUNZO KWA WALIMU WA ECDE KUHUSU MTAALA WA CBC.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imeandaa warsha ya walimu wa chekechea ECDE ili kutoa mafunzo kwa walimu hao hasa kuhusu jinsi ya kuwashughulikia watoto kabla ya kujiunga na shule […]
Top News









