News
-
HATIMA YA KESI KUHUSU MATOKEO YA URAIS KUBAINIKA LEO.
Macho yote sasa yameelekezwa kwa jopo la majaji saba wa Mahakama ya juu wanapotarajiwa kutoa uamuzi wao kuhusiana na kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa agosti 9 mwaka huu.Ni […]
-
WAKAAZI WAOMBWA KUWA NA SUBIRA WAKATI MAHAKAMA INAPOENDELEA KUSIKILIZA KESI KUPINGA MATOKEO YA URAIS
Wito umetolewa kwa wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi kuendelea kuwa na subra wakati mahakama ya juu ikiendelea kusikiliza na hata itakapotoa uamuzi wake kuhusu kesi za kupinga ushindi […]
-
GAVANA WA POKOT MAGHARIBI AWAHAKIKISHIA WAKAAZI AHADI ZOTE ALIZOTOA WAKATI WA KAMPEINI
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi amewahakikishia wakazi wa kaunti hii kuwa atahakikisha anatekeleza ahadi ambazo alitoa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa tarehe 9 mwezi agosti mwaka […]
-
RUTO ATETEA USHINDI WAKE MAHAKAMANI ALHAMISI.
Vikao vya kusikiliza kesi ya kupinga ushindi wa rais mteule William Ruto vinaingia leo siku ya pili baada ya kuaza rasmi hiyo jana.Leo ni zamu ya mawakili wa Ruto na […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUHAKIKISHA USALAMA ENEO LA SEKER POKOT MAGHARIBI.
Chifu wa seker eneo la Sigor katika kaunti hii ya Pokot magharibi Charles Chebushen ameelezea haja ya kupelekwa vitengo vya usalama eneo hilo ili kuhakikishia wakazi wa eneo hilo usalama […]
-
VIONGOZI WA KERIO VALLEY WAAHIDI KUSHIRIKIANA KATIKA KUIMARISHA USALAMA.
Mbunge wa Sigor katika kaunti hii ya Pokot magharibi Peter Lochakapong ameahidi kushirikiana na viongozi wengine waliochaguliwa katika kaunti hii kuhakikisha kuwa kunapatikana amani mipakani pa kaunti hii na kaunti […]
-
MAHAKAMA YA JUU YAANZA VIKAO VYA KUSIKILIZA KESI YA KUPINGA USHINDI WA RUTO.
Jopo la majaji 7 wa mahakama ya juu hatimaye limeanza vikao vyake vya kusikiliza rufaa kuhusu matokeo ya uchaguzi wa urais likiwa limeweka maswala 9 makuu kwenye rufaa hizo ambayo […]
-
MAGAVANA WAPYA WANZA RASMI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO.
Siku chache tu baada ya magavana 45 kula kiapo na kuahidi kufanyia wananchi kazi sasa magavana hao wameanza rasmi majukumu yao.Ikiwa ni siku ya kwanza kuingia ofisini tangu kuchaguliwa kwake […]
-
MRADI WA UNYUNYIZIAJI MAJI MASHAMBA WA PARASANY WAKAMILIKA.
Shirika la SEFA limekabidhi rasmi mradi wa unyunyiziaji maji mashamba wa parasanyi ambao umetelezwa chini ya mpango wa ustahimilivu kwa usimamizi wa serikali ya kaunti hii. Akizungumza katika hafla ya […]
-
VIJANA WAHIMIZWA KUKUMBATIA KOZI ZA UHANDISI.
Wito umetolewa kwa vijana wa kike kujitokeza kwa wingi na kusomea kozi za uhandisi na kupuuzilia mbali dhana ya kuwa baadhi ya taaluma na kazi ni za vijana wa kiume […]
Top News