News
-
VIONGOZI WA KUP WATOFAUTIANA KUHUSU HATIMA YA CHAMA HICHO KWENYE MRENGO WA AZIMIO.
Masaa machache tu baada ya kiongozi wa chama cha KUP aliyekuwa gavana wa kaunti ya Pokot magharibi John Lonyangapuo kutangaza kuondoa chama hicho katika muungano wa azimio la umoja, mbunge […]
-
VYAMA VYA USHIRIKA POKOT MAGHARIBI VYALENGA KUANZISHA UPANZI WA MACADAMIA, KUBORESHA KILIMO BIASHARA.
Kama njia moja ya kuinua na kuboresha kilimo cha kahawa, vyama vya ushirika kaunti hii ya Pokot Magharibi kupitia mwenyekiti wao Samson kamarich vimesema kuwa wana nia ya kuanzisha upanzi […]
-
GAVANA KACHAPIN AMSUTA PKOSING KWA MADAI YA KUTUMIA VYOMBO VYA HABARI KUMHARIBIA SIFA.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amemsuta vikali mbunge wa pokot kusini David Pkosing kwa kwa kile alisema kutumia vyombo vya habari kumharibia sifa machoni pa wakazi. Katika […]
-
WAZAZI BARINGO WALAUMIWA KWA KUWAFICHA WANAO WENYE ULEMAVU.
Wazazi katika kaunti ya Baringo wametakiwa kutowaficha wanao walio na changamoto ya ulemavu na badala yake wawasajili katika idara za serikali ili kuhakikisha kwamba wanashughulikiwa ipasavyo. Akiongea mjini kabarnet mkurugenzi […]
-
MBUNGE WA SABOTI ATAKA KUBUNIWE HAZINA YA USTAWISHAJI MAENEO YA WADI.
Mbunge wa Saboti katika kaunti ya Trans nzoia Caleb Amisi amesema kwamba atahakikisha waakilishi wadi wanapokea fedha za ustawishaji maeneo wadi kutoka kwa serikali ya kaunti katika juhudi za kuhakikisha […]
-
WAKULIMA WA ZAO LA MAHINDI WASHABIKIA HATUA YA SERIKALI KUSITISHA MIPANGO YA KUAGIZA MAHINDI KUTOKA NJE YA NCHI.
Wakulima na viongozi kaskazini mwa bonde la ufa wamesifia hatua ya serikali kusitisha uagizaji wa mahindi kutoka mataifa ya kigeni wakisema hatua hiyo itawapa fursa ya kuuza mahindi yao kwa […]
-
WADAU WAELEZEA WASI WASI WA ONGEZEKO LA MAAMBUKIZI YA HIV MIONGONI MWA VIJANA POKOT MAGHARIBI.
Huenda maambukizi ya virusi vya ukimwi katika kaunti ya Pokot magharibi vikawa juu kutokana na hali kwamba wengi wa wakazi wanaougua virusi hivyo hawajitokezi kupimwa kufahamu hali yao. Akizungumza katika […]
-
HALI YA USALAMA MIPAKANI YAZIDI KUWAKEKETA MAINI VIONGOZI POKOT MAGHARIBI.
Aliyekuwa mwakilishi wadi ya Masol eneo bunge la Sigor katika kaunti ya Pokot magharibi Ariong’o Loporna amezitaka asasi za usalama kuimarisha usalama maeneo ya mipakani pa kaunti hii ya Pokot […]
-
WAKAZI POKOT KUSINI WALALAMIKIA HALI MBOVU YA BARABARA.
Kama njia moja ya kuimarisha uchumi wa wakazi wa wadi ya Chepareria Eneo bunge la Pokot Kusini kaunti ya Pokot magharibi, kuna haja ya Serikali kuu kukarabati nyingi za barabara […]
-
MWAMKO MPYA KWA ELIMU NA DINI KERIO VALLEY.
Kunashuhudiwa mwamko mpya eneo la bonde la kerio baada ya shirika la Christian impact Mission, serikali na wadau wengine pamoja na wakazi kuanza kuinua elimu na dini kwenye eneo hilo […]
Top News