News
-
HOSPITALI YA KACHELIBA YAKABIDHIWA MTAMBO WA JENERETA KUKABILI TATIZO LA NGUVU ZA UMEME.
Wakazi wa eneo la Kacheliba katika kaunti ya Pokot magharibi wamepata afueni baada ya serikali ya kaunti kupitia idara ya afya kuikabidhi hospitali ya Kacheliba mtambo wa jenereta ambao utatumika […]
-
WAFANYIBIASHARA MJINI MAKUTANO POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA KUKITHIRI WIZI.
Wafanyibiashara mjini makutano katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuwa waangalifu hasa msimu huu ambapo visa vya wizi vimetajwa kukithiri.Hii ni baada ya wasichana wawili kunaswa hiyo jana wakijaribu […]
-
VIONGOZI BONDE LA KERIO WAENDELEA KULAANI MAUAJI YA WANAFUNZI WAWILI KAUNTI YA ELGEYO MARAKWET.
Siku kadhaa baada ya majangili waliojihami kwa bunduki kuwauwa kwa risasi wanafunzi wawili katika kaunti ya Elgeiyo marakwet, mbunge wa Tiaty katika kaunti ya Baringo William Kamket ameongoza mkutano wa […]
-
SHINIKIZO ZAENDELEA KUTOLEWA KUBUNI MUUNGANO MMOJA WA WANAFUNZI WA VYUO NA WALE WA VYUO VIKUU POKOT MAGHARIBI.
Ipo haja kwa wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu katika kaunti hii ya Pokot magharibi kuungana na kubuni muungano mmoja.Haya ni kwa mujibu wa aliyekuwa naibu mwenyekiti wa muungano wa […]
-
WAKAZI WA ELGEYOI MARAKWET WATAKIWA KUDUMISHA AMANI WANAPOTARAJIWA KUELEKEA DEBENI.
Siku moja kabla ya kufanyika uchaguzi mdogo wa useneta kwenye kaunti ya elgeyo marakwet na kwingineko nchini wito unatolewa kwa Wakaazi wa eneo hilo pamoja na viongozi katika maeneo ambako […]
-
HOSPITALI YA ORTUM YACHUNGUZWA KUHUSIANA NA KISA CHA KUNYOFOLEWA BAADHI YA VIUNGO VYA MTOTO ALIYEZALIWA AKIWA TAYARI AMEFARIKI.
Hospitali ya kimisheni ya Ortum katika kaunti hii ya Pokot magharibi inachunguzwa kufuatia kisa ambapo baadhi ya viungo vya mwili wa mtoto uliohifadhiwa katika chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali […]
-
SHINIKIZO ZAENDELEA KUTOLEWA KWA RAIS KUTIMIZA AHADI ZAKE KWA WAKENYA.
Zaidi ya siku 100 tangu rais William Ruto kuingia afisini, shinikizo zimeendelea kutolewa kwake kuhakikisha kwamba anatekeleza ahadi alizotoa kwa wananchi kwamba angetekeleza ndani ya siku hizo 100 baada ya […]
-
MAAFISA WA KWS WALAUMIWA KWA KUTELEKEZA MAJUKUMU YAO HUKU WANANCHI WAKIHANGAISHWA NA WANYAMAPORI KACHELIBA.
Maafisa wa idara ya wanyamapori katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuwadhibiti wanyama pori ambao wamekuwa wakiwahangaisha wakazi wa eneo la Kacheliba katika kaunti hii. Msimamizi wa kaunti ndogo […]
-
KUONDOLEWA KWA SHULE ZA MABWENI YAKOSOLEWA NA MBUNGE WA KAPENGURIA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Baadhi ya viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamepinga vikali mipango ya serikali kuondoa shule za mabweni ilivyotangazwa na katibu katika wizara ya elimu Belio Kipsang. Kipsang alisema kwamba […]
-
WANAFUNZI WAFAIDI NA MPANGO WA KCB FOUNDATION POKOT MAGHARIBI
Benki ya KCB kupitia wakfu wa KCB foundation inaendelea kuweka mikakati ya kuwafadhili wanafunzi zaidi werevu kutoka jamii zisizojiweza kaunti hii ya Pokot magharibi. Akizungumza baada ya kukutana na wanafunzi […]
Top News