News
-
DORIA YA KIUSALAMA YAIMARISHWA CHESOGON BAADA YA KUUAWA WATU WAWILI.
Doria imeimarishwa eneo la Chesogon mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet ili kuimarishwa usalama eneo hilo kufuatia mauaji ya watu wawili na mwingine mmoja […]
-
WADAU POKOT MAGHARIBI WAENDELEZA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA ATHARI ZA UKAME.
Mashirika mbali mbali ya kijamii kaunti hii ya Pokot magharibi yanashirikiana na serikali ya kaunti katika kubuni mikakati ya kukabili athari ambazo huenda zikasababishwa na ukame ambao unashuhudiwa kufuatia ripoti […]
-
TSC YATAKIWA KUTOA KIPAU MBELE KWA WAKAZI KATIKA SHUGHULI YA USAJILI WA WALIMU POKOT MAGHARIBI.
Wakazi wa eneo la Kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi hasa wanaotafuta nafasi za ajira katika zoezi linaloendelea la kuwaajiri walimu nchini wamelalamikia idadi kubwa ya watu wanaofika eneo […]
-
WIZARA YA AFYA YAONDOA HOFU YA UWEPO WA UGONJWA WA KIPINDUPINDU POKOT MAGHARIBI.
Wizara ya afya katika kaunti hii ya Pokot magharibi imeondoa wasi wasi wa uwezekano wa kuzuka ugonjwa wa kipindu pindu katika kaunti hii baada ya kuibuka madai kuwa mgonjwa mmoja […]
-
RIPOTI YA GIZ YABAINISHA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAFUGAJI POKOT MAGHARIBI.
Wakulima hasa wafugaji katika kaunti ya Pokot Magharibi wametakiwa kutunza vyema mazingira na kutumia misimu ya mvua kupanda nyasi ya kutosha na aina fulani ya miti ambayo hutumika kama chakula […]
-
JAMII YA NAIBU CHIFU ALIYEJINYONGA KISHAUNET YATAKA UCHUNGUZI WA KINA KUHUSIANA NA KISA HICHO.
Jamii ya naibu chifu wa Kishaunet katika kaunti ya Pokot magharibi aliyefariki kwa kujinyonga Benson Sialuk sasa inataka uchunguzi kuendeshwa kubaini kilichosababisha kifo cha naibu chifu huyo.Wakiongozwa na mamake mwenda […]
-
WAFANYIKAZI WA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WANAOHUDUMU KWA KANDARASI WALALAMIKIA KUFUTWA KAZI.
Baadhi ya wafanyikazi katika kaunti ya Pokot magharibi wamelalamikia kile wamedai kufutwa kazi na serikali ya kaunti kupitia bodi ya huduma kwa umma wakihusisha hali hiyo na njama za kisiasa.Wafanyikazi […]
-
MZOZO WA UONGOZI KANISANI WAPELEKEA MAAFA NASOKOL.
Naibu chifu wa Kishaunet katika kaunti ya Pokot magharibi Benson Sialuk ameripotiwa kuaga dunia siku moja tu baada ya kuibuka ripoti za kupotea kwake hali inayohusishwa na mzozo wa uongozi […]
-
KACHAPIN APUUZILIA MBALI MADAI YA KUWAFUTA KAZI WAFANYIKAZI WA KAUNTI WALIOAJIRIWA NA JOHN LONYANGAPUO.
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin amepinga vikali madai kwamba amewafuta kazi wafanyikazi wa umma waliokuwa wakihudumu katika serikali ya aliyekuwa gavana John Lonyangapuo punde alipoingia uongozini.Katika […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WASISITIZA HAJA YA KUPEWA KIPAU MBELE WAKAZI KATIKA ZOEZI LA USAJILI WA WALIMU.
Viongozi mbali mbali wa kisiasa katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kuishinikiza tume ya huduma kwa walimu TSC kuhakikisha kwamba wanatendea haki wakazi wa kaunti hiyo kwa kuwapa kipau mbele […]
Top News