News
-
VIONGOZI WATAKA KUWEKWA MIKAKATI YA KUKABILI HALI YA UKAME KATIKA KAUNTI ZA WAFUGAJI
Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi sasa wanatoa changamoto kwa serikali ya rais William Ruto kuweka mikakati ya kuhakikisha kwamba swala la ukame linakabiliwa hasa katika kaunti za […]
-
SERIKALI YALAUMIWA KWA KUENDESHA OPARESHENI YA KIUSALAMA KWA MAPENDELEO KASKAZINI MWA BONDE LA UFA.
Mbunge wa Pokot kusini katika kaunti ya Pokot magharibi David Pkosing ameilaumu serikali kwa kile amedai kwamba imeruhusu wakazi katika kaunti jirani kumiliki silaha kinyume cha sheria baada ya wakazi […]
-
VIONGOZI WASHUTUMU MASHAMBULIZI AMBAYO YAMEENDELEA KURIPOTIWA LICHA YA OPARESHENI INAYOENDELEA BONDE LA KERIO.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameshutumu vikali mashambulizi ambayo yameendelea kuripotiwa katika kaunti za bonde la kerio licha ya oparesheni ya kiusalama ambayo inaendelea katika kaunti sita za kaskazini […]
-
MWANAFUNZI WA NASOKOL AIBUKA WA PILI KITAIFA KATIKA UANDISHI WA INSHA KWENYE ZOEZI LA SPELLING BEE.
Mwanafunzi wa shule ya msingi ya Nasokol katika kaunti ya Pokot magharibi ameibuka wa pili nchini katika zoezi la uandishi wa insha maarufu spelling bee ambalo lilifadhiliwa na kampuni ya […]
-
WADAU WA ELIMU WAANDAA KIKAO CHA KUTATUA MZOZO UNAOKUMBA SHULE YA KAMOTING POKOT MAGHARIBI.
Mkurugenzi wa elimu kaunti ndogo ya Kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi Amos Kibet amewalaumu wazazi wa shule ya msingi ya Kamoting kuhusiana na jinsi ambavyo wameshughulikia lalama ambazo wamekuwa […]
-
WAKULIMA WALALAMIKIA KUJIKOKOTA SHUGHULI YA KUSAMBAZA MBOLEA KATIKA MAGHALA YA NCPB.
Wakulima katika kaunti ya Pokot magharibi wametaka kuharakishwa shughuli ya kutoa mbolea inayoendelea katika maghala ya NCPB. Wakiongozwa na Harison Loyatum wakulima hao walisema kwamba mbolea ni kidogo mno katika […]
-
MZOZO KATI YA WAZAZI NA UONGOZI WA SHULE YA KAMOTINY POKOT MAGHARIBI WAZIDI KUKOLEA.
Wazazi wa shule ya msingi ya Kamotiny kaunti ya Pokot magharibi wamesuta uongozi wa shule hiyo kutokana na jinsi ambavyo unaendesha shughuli mbali mbali hali ambayo inasemekana kuchangia mzozo baina […]
-
MACHIFU SIGOR WATAKA MBINU YA KUTWAA SILAHA KUTOKA MIKONONI MWA WAKAZI KUBADILISHWA.
Machifu wa eneo bunge la sigor katika kaunti ya Pokot magharibi wametoa wito wa kubadilishwa mbinu za kuendesha oparesheni ya kutwaa silaha haramu ambazo zinamilikiwa na raia eneo hilo. Wakiongozwa […]
-
UNICEF YAHIMIZA MDAHALO KUHUSU AFYA YA WATOTO KUPEWA KIPAU MBELE.
Shirika la kushighulikia mswala ya watoto UNICEF limeelezea haja ya wadau kuendeleza mdahalo kuhusiana na maswala yanayowapa kipau mbele watoto kaunti ya Pokot magharibi ili kuwepo na mbinu mpya za […]
-
WAKAZI WATAKIWA KUTOYAUZA MAZAO YAO YOTE WAKATI WA MAVUNO ILI KUKABILI BAA LA NJAA MSIMU WA UKAME.
Wito umetolewa kwa wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi kuwa makini wakati wanapovuna mazao yao na kutoyauza yote ili kukabiliana na baa la njaa hasa misimu ya ukame. Ni wito […]
Top News