News
-
SERIKALI YAAGIZA KUFUNGULIWA SHULE ZOTE ZILIZOFUNGWA KUFUATIA UTOVU WA USALAMA POKOT MAGHARIBI.
Waziri wa usalama wa ndani ya nchi Prof. Kithure Kindiki ameagiza kufunguliwa shule zote ambazo zilifungwa kutokana na ukosefu wa usalama katika kaunti ya Pokot magharibi ili kuwaruhusu watoto kutoka […]
-
UKEKETAJI WASALIA CHANGAMOTO KATIKA BAADHI YA MAENEO POKOT MAGHARIBI.
Chifu wa eneo la yanglomu Lomut kaunti hii ya Pokot magharibi Yohana Loritai amelalamikia kukithiri visa vya ukeketaji wa watoto wa kike licha ya juhudi za serikali na mashirika mbali […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATETEA MIKAKATI YA RAIS KUIMARISHA UCHUMI WA NCHI.
Baadhi ya viongozi wanaoegemea chama cha UDA katika kaunti ya Pokot magharibi wametetea uongozi wa rais William Ruto dhidi ya shutuma kutoka kwa wapinzani wake kuhusiana na kupanda gharama ya […]
-
BUNGE LA POKOT MAGHARIBI LASITISHA SHUGHULI KULALAMIKIA MISHAHARA.
Bunge la kaunti hii ya Pokot magharibi ni la hivi punde kusitisha shughuli zake wabunge katika bunge hilo wakishinikiza tume ya kuratibu mishahara ya wafanyikazi SRC kusitisha hatua ya kupunguza […]
-
WANANCHI WATAKIWA KUZINGATIA KANUNI ZA KUHIFADHI MAZINGIRA.
Wananchi wametakiwa kuhusika kikamilifu katika kuhakikisha kwamba matumizi ya karatasi za plastiki yanapunguzwa nchini ili kukabili uchafuzi wa mazingira ambao husababishwa na karatasi hizo. Akizungumza eneo la Chepareria kaunti hii […]
-
SERIKALI YA KAUNTI KUGHARAMIA MATIBABU YA WATOTO WALIOJERUHIWA TURKWEL KUFUATIA SHAMBULIZI LA WEZI WA MIFUGO.
Waziri wa afya kaunti ya Pokot magharibi cleah Parlklea amewahakikishia wazazi wa watoto waliojeruhiwa katika shambulizi lililotekelezwa na wahalifu eneo la Turkwel siku ya jumamosi kwamba serikali ya kaunti kupitia […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUONGEZA MGAO KWA MAENEO BUNGE ILI KUFANIKISHA MIRADI KATIKA SEKTA YA ELIMU.
Baadhi ya wabunge katika kaunti ya Pokot magharibi wameitaka serikali kuu kupitia wizara ya elimu kuongeza fedha ambazo zinatengewa maeneo bunge kufanikisha miradi kwenye shule mbali mbali. Wakiongoizwa na mbunge […]
-
WATOTO WAWILI WAUAWA HUKU ZAIDI YA MIFUGO 100 WAKIIBWA KATIKA UVAMIZI WA HIVI PUNDE TURKWEL.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wamekashifu vikali uvamizi uliotekelezwa na wahalifu wanaoaminika kutoka kaunti jirani katika kijiji cha Kamurio eneo la Turkwel ambapo waliiba zaidi ya mifugo 100 huku […]
-
TAMADUNI ZATAJWA KUWA KICHOCHEO CHA MIMBA ZA MAPEMA MIONGONI MWA WATOTO POKOT MAGHARIBI.
Mimba za mapema miongoni mwa watoto katika kaunti ya Pokot magharibi zinachangiwa na hali kwamba jamii haijakumbatia swala la kuzungumzia wazi maswala ya ngono kwa watoto kutokana na hali inayotajwa […]
-
WAZAZI WATAKIWA KUKUMBATIA ELIMU KWA WANAO KAMA NJIA MOJA YA KUKABILI WIZI WA MIFUGO.
Wito umetolewa kwa wazazi katika kaunti ya Pokot magharibi kuchukulia kwa uzito swala la kuhakikisha kwamba watoto wao wanapata elimu kama njia moja ya kukabili tatizo la utovu wa usalama […]
Top News